Irene Paul Amtaka Kajala Amtoe Mtoto Katika Mitandao

Moja ya wasanii wanaofanya vizuri sana katika tasnia ya muziki Irene Paul amefunguka na kumshauri  Kajala Masanja kutaka kumtoa na kumuweka mbali  na mitandao ya kijamii  kwa sababu yule ni mtoto bado na ana maisha yake ya baadae.

Irene anasema kuwa pamoja na kwamba mitandaoni kumekuwa na maneno mengi anachoamini ni kuwa kajala tayari ameshaweza kustahimili kila neno lakini anapswa kuiogopa sana mitandao hasa kwa mtoto wake.

Irene anasema kuwa baada ya maneno hayo ya kumsema mtoto wa kajala kutokea amekuwa muoga sana wa mitandao ya kijamii hasa kwa mtoto wake ambae bado anakuwa na anajitahidi kumuweka mbali sana na mitandao.

Irene anasema kuwa kwa kitendo icho basi wasanii wanapaswa kujifunza kuwachaguliwa  watoto wao fubgu la kukaa kwa sababu mwisho wa siku wanapokuwa wako attacked , wale wanaowa-attack hawana wanachojali.

 

Mashabiki Wamtolea Povu Kajala Kuhusu Umri wa Binti Yake.

Ikiwa wikiendi hii siku ya Jumapili msanii Kajala Masanja alikuwa akisherekea sikukuu ya kumbukumb ya kuzaliwa ya binti yake anaejulikana kwa jina la Paula na kusambaa kwa picha nyingi katika mitandao ya kijamii kuhusu picha hizo mashabiki zake wamemjia juu na kudai kuwa anawadanganya khusu umri wa mtoto wake.

Katika baadhi ya photoshoots zilizosambaa katika mitandao ya kamii, zinamuonyesha kuwa paula ana miaka 16 wakati mashabiki wanamtuhumu na kusema kuwa hana umri huo.

Huku katika mitandao ya kiamii watu wameanza kuhoji na kusema kuwa mbona binti huyo alimaliza shule ya sekondari tangu miaka miwili iliyopita na kama ndio hivyo binti huyo kwanini awe na miaka hiyo kila siku.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.