Kifesi Amuandikia Barua ya Wazi Diamond Platinumz

Aliyewahi kuwa mpiga picha maarufu wa mwanamuziki Diamond Platinumz anaejulikana kama Kifesi amefunguka na kumtumia Diamond barua ya wazi kupitia ukrasa wake wa instagram na kumlaumu msanii huyo kwa tabia yake ya kudhalilisha wanawake.

Wikiend hii diamond alimjibu vibaya shabiki na kuwatukana wanawake aliwahi kuzaa nao kwa kuwaita malaya na mtoto wake mmoja kumuita mtoto wa mchepuko kitu kilichowauma na kuwashangaza watu wengi.

Hata hivyo Kifesi ambae mara nyingi amekuwa akimkosoa sana Diamond na hata swala la kupoteza kazi yake kwa msanii huyo ni baadaya lumshauri mahusiano yake na  Zari the bossy.

Kifesi anasema kuwa ameamua kuandika barua hiyo kwa sababu Diamond amemblck kila mahali na hana njia nyingine anayo weza kuwasialiana nae.

Katika waraka huo mrefu, Kifesi amemuomba diamond kuwa mfano wa kuigwa kama vile msemo unaosema msanii ni kioo cha jamii, ameshangaa sana kwa sababu yeye kama msanii alitakiwa kujutia kuzaa na wanawake tofauti tofauti lakini kitu cha ajabu anaona ni kama sifa.

Lakini pia Kifesi anahoji kama michezo hiyo michafu ya kuwa na wanawake tofauti tofauti na bado kuwatkana na kuwadhalilisha katika  mitandao ya kijamii inampa amani gani zaidi ya kumpotezea mashabiki na kuharibu kazi yake.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.