Kifo cha Mwanafunzi Aqwilina Kilivyogusa Mastaa

Siku ya ijumaa tarehe kumi na sita mwanafunzi maeneo ya Mkwajuni mwanafunzi kutoka chuo cha usafirishaji cha taifa (NIT), Aqwilina alifariki dunia baada ya kupigwa risasi na polisi.

Aqwilina Aqwiline alikuwa anasoma shahada ya kwanza katika ununuzi na ugavi, tukio hilo lilitokea maeneo ya Mkwajuni Kinondoni ambapo kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amekiri binti huyo kupigwa risasi na polisi waliokuwa wanawatawanya wafuasi wa Chadema.

Tukio hilo lilitikisa nchi nzima huku kila mtu akiguswa na kifo hicho cha Aqwilina ambaye alikuwa kwenye basi/daladala akielekea Bagamoyo alipokuwa anaenda kufatilia barua yake ya kufanya field. Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema peponi Amina.

Lakini pia baadhi ya watu ambao wameguswa na msiba huo ni mastaa mbali mbali wa Bongo ambapo wametoa pole zao kama ifuatavyo:

1. Jokate Mwegelo

 

2. Diamond Platnumz 

3. Kajala Masanja

 

4. Shilole

 

 

5. Vanessa Mdee

 

6. Juma Jux

 

7. Aslay 

 

8. Nandy

 

9. Joh Makini

 

10. Rayvanny 

 

11. Harmonize

 

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.