Mwili wa Mama Abdul Kuzikwa Leo

Mwili wa mwanamama Salome aliefariki wikiend hii nyumbani kwake mburahati jijini dar es slaam  unataraijwa kuziki wa leo  baada ya shughuli zote za mazishi kukamilika nyumbani kwake.

Mama Abdul alisifika sana miaka ya nyumba kutokana na kazi zake huko alikoanzia katika tamthili ya mambo hayo akiwa na kina bishanga, lakini sasa hivi jina lake lilizidi kukua baada ya kucheza katika tamthilia ya mwantumu akiwa anaigiza kwa jina la Mwantum Mcharuko.

Mama Abdul amekuwa moja ya wasanii wakongwe waliowalea wasanii wengine waliochipukia na jina lake na kazi zake zitakuwa na mchango mkubwa sana katika tasnia ya sanaa.

MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI, AMINA.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.