Moni Atangaza Ndoa kwa Mpenzi Wake wa Siku Nyingi.

Msanii wa muziki wa hip-hop nchini Moni ametangaza nia yake ya kutaka kumuona mpenzi wake wa siku nyingi Nai ambae pia yuko katika industry ya muziki akiwa video vixen maarufu bongo.

Moni na Nai wamkua wapenzi kwa muda mrefu na kupitia mambo meng hata kusababisha kutengana na baadae kurudiana.akiongea na eatv, moni anasema kuwa swala la ndoa ni swala lenye baraka sana hivyo hata yeye muda muafaka ukifika atalikamilisha tena bila tatizo.

Ndoa ni jambo lenye baraka sana na kila mtua amekuwa akitamani sana litokee na nina amini kuwa muda wangu muafaka ukifika  nitalikamilisha tu.

Ukiachana na kufunga ndoa lakini pa Moni anasema kuwa yey ni baba bora sana kwa mtoto wake ambae pamoja na kwamba hakai nae lakini anahakikisha kuwa mtoto wake anafurahia uwepo wake.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.