Ukaribu wa Muna na Joel Wazua Utata Mitandaoni.

Kumekuwa na maneno ya chinichini kuhusu uhusiano wa mwanadada munalove na mwimbaji injili wa kitanzania joel lwaga siku chache zilizopita huku ikisadikika kuwa waili hawa kwa sasa wanawezekana kuwa ni wapenzi na sio marafiki wa kiroho kama wanavyosema wao.

Mwanadada Muna ambae aliamua kuokoka na kurudi katika imani yake na kuyaacha yote ya kidunia , anasema kutumia mwamvuli huo wa kidini kuficha baadhi ya mambo kama inavyoonekana katika mitandao ya kijamii , huku baadhi ya mashabiki zao wakiawandamana kwa maneno.

Katika kusherekea sikukuu ya mama Duniani, msanii Joel Lwaga aliandika katika ukurasa wake wa instagram”enjoy the best of mothers’s day with my#soulmate ”

katika ukursa wa muna nae aliweka picha ya joel Lwaga na kuandika ujumbe mrefu  wa mistari ya biblia

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.