Baby Shower ya Mke wa Roma(+picha)

Mwanadada anaejulikana kama Nancy ambae ni mke wa msanii Roma wiki hii amefanya  baby shower iliyohudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wasanii ambao wamekuwa wakifanya kazi na mume  wake

.

Mke wa Roma akiwa na mwana muziki Dayna Nyange.

                                            

   Akiwa na marafiki zake na wageni waalikwa.

Nancy ambae alikiri kuwa kufungiwa kwa mume wake kumemuumiza sana yeye na familia yake kwa sababu ndio kazi anayoitegemea lakini alisema kuwa lazima maisha yaende na wamemuachia Mungu mambo yote.Hata hivyo mwanadada huyo hakuonekana kuteteleka kwa sababu hali yae aliyonayo  kwa sasa haimruhusu kuwa katika hali yoyote mbay kwa sababu anategemea kupata mtoto hivi karibu.

 

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.