Mashabiki Wamuamkia Nandy , ni Baada ya Siri ya Penzi na Billnasss Kuvuja

Baada ya kuficha kwa muda mrefu hatimaye ile siri imefichuka kuwa  ni kweli nandy na msanii mwenzake Billnass ni wapenzi kwa kuvuja kwa picha ambazo nandy mwenyewe aliamua kuwachokoza watu katika mitandao kwa kuziweka wazi ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa billnass.

Hata hivyo baadhi ya mashabiki walionekana kufurahia penzi hilo na kuwataka waendelee na huku wengine wakiwashushua wawili hao kwa sababu ya kuwa wanakanana katika vyombo vya habari.baada ya picha ya ndani katika mtandao wa instagram baadhi ta mashabiki walitupia maoni haya :

  • official _ivan5 duuh @ nandy UMEPAKATWAAA @ soudybrown mombo ni moto mzee baba.
  • official_irfan_tz mmhh nandy we si uliwahi kukataa kuwa billnas sio mtu wako wewe sasa leo naona umepakatwa mdada.
  • fanueltanzania i wish you two could be a couple could be a bright future  couple in this game ever @billnass 2@ nandy i pray for you two
  • colasticacamra muda merfu nilikuwa natamani kuwaona nyie watu pamoja , leo nimeona picha aisee nimefrahi sana mpaka  naumwa, yaan nandy nakupenda na nengaa nakupenda pia.
  •  monte_mindu pembe la ngombe halifichiki hata ulitie  kwenye gunia, mambo ni wazi wazi.
Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.