Nuh Mziwanda Amlilia Mwanae, Asema Mama Yake Anambemenda

Msanii wa kizazi kipya nchi Nuh Mziwanda anapata maumivu makali na kilio baada ya kusema kuwa mtoto wake wa kike alibahatika kuzaa na mwanamke aliwahi kufunga nae ndoa na kisha kuachana nawal amekuwa akimbemenda mtoto na kumuharibu katika malezi.

Nuh anasema kuwa anakuwa anaumia sana kutokana na maisha magumu amabyo amekuwa akiyaishi mtoto wake kwa mama yake huku mama huyo akikataa kumpa mtoto huyo na anaona kabisa kuwa mama huyo malezi yamemshinda na  anamuharibu mtoto.

Bora angekuwa analea mtoto lakini cha ajabu amekuwa aki-date na watu tofauti tofauti huku akiwa analea mtoto,mii sijakataza yeye kufanya mambo yake lakini yeye anatoka na watu ambao mimi sitaki , namwambia anipe tu mtoto wangu akitaka kumuaona aje amchukue siku mbili au tau kisha amrudishe  yeye aendelee na mambo yake , mimi nataka mwanangu aishi maisha mazuri  lakini mwanangu anaishi katika mazingira mabaya

Nuh aliingia katika mahusiano ya kimapenzi na nawal baada ya kuachana na shiloleh na kisha kupata mtoto mmoja wa kike lakini wawili hao maisha ya ndoa yaliwashinda na kuwafanya kuachana na kila mtu kuangalia ustaarbu wake lakini swala linabaki kuwa waili hao wanatakiwa kusgirikiana kumlea kiumbe walichokileta Duniani lakini shida inakuja upande wa mama kama anvyosema baba wa mtoto.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.