Ommy Afanyiwa Upasuaji Mkubwa, Akaa kwenye ‘Comma ‘ Kwa siku Takribani 7

Msanii Ommy Dimpoz amethibitisha kuwa hali yake ilikuwa mbaya sana huko nchini afrika ya kusini ambapo alikuweo na anaendelea kuwepo kwa ajili ya kupatiwa matibabu yake mpaka sasa.

Ommy Dimpozi ambae anaongea kigonjwa kabisa anasema kuwa alikaa katika hali ya kutokuwa na ufahamu kwa takribani siku saba lakini kwa sasa anaendelea vizuri kwa sababu anapumua na ana uhai tena .

Kwakweli nina mshukuru mungu kwa kuweza hata kuiona siku ya leo , kikubwa nina mshukuru mungukwa sababu ya uzima,bado nipo na niapomua, tatizo kubwa likiuwa nikila chakula siwezi kumeza chakula akishuki,na hata nikinyw maji hayashuki kabisa.

Ommy ambae amekuwa mbali na nyumbani kwa sasa amewashangaza watanzani wengi kwa kusema kuwa alikuwa akiumwa na kufikia hatua hiyo bila kutoa taarifa yoyote nchini kwao na hata vyombo vya habari havikuwa vikijua taarifa zae za kuumwa kwa ukubwa huo.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.