Patrick, Mtoto Aliyeondoka na Kuumiza Taifa.

Pengine ni kutokana na umaarufu wa mama yake, lakini pia inawezekana ni kutokana na matendo yake na moyo wake aliokuwa nao alipokuwa akisaidia wengine kupitia neno la mungu, au pengine mungu aliamua kumtengenezea njia yake akiwa tangu mdogo.

Mtoto Patrick ambae amefariki usiku ya kuamkialeo akiwa katika matibabu yake huko nairobi ameliza watu wengi na sio wasanii tu lakini msiba huu umekuwa kama msib wa taifa  kutokana na kifo hiki na hata ugonjwa wake ulivyokuwa ukiwaumiza watu.

Patrick ambae ni mtoto wa mwanadada Muna na mtangazaji Casto Dickson amefariki akiwa katika chumba  cha wagonjwa mahutiuti huku jijini nairobi akiwa katika kufanyiwa matibabu , kwa nchini tanzania ukiachana na sala na maombezi aliyokuwa akiombewa lakini pia watu waliamua kujitolea gharama yoyote ili kumsaidia mtoto huyo kurudi katika hali yake ya kawaida.

Lakini kumbe mungu nae ana mipanfo yake , GONE TOO SOON PATRICK.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.