Pink na Chemical Kufuata Nyayo za Rostam

Wasanii wawili wa kike Pink na Chemical  wameanza kufuata nyayo za wasanii wakongwe Roma na Stamina kwa kufanya kazi pamoja huku mashabiki wao wakitaka kufanya kazi kwao pamoja kusiishie katika wimbo huo mmoja tu bali waweze kufanya kazi nyingi ili kuleta mapinduzi ya muziki wa hip-hop ktiak atasnia hasa upande wa wanawake.

Wasanii hao wameonekana kuvutiwa na umoja wa wasanii hao na kusema kuwa hata wao wanaweza kufanya hivyo kwa sababu ni kitu kizuri kibiashara na kinasaidia kuwaleta mashabiki wote pamoja.

tunaweza kuendelea kufanya kazi pamoja  kwa sababu so far  hii nyimbo ya achana na mimi imfanya vizuri na inawaleta sana pamoja mashabiki , kwa sababu nimeweza kukusanya mashabiki wa pink na kuwaleta kwangu hii ni kitu kizuri kibiashara.hivyo haitakuwa vibaya kama utasikia nyimbo nyingine ya pink na chemical.-Alisema Chemical.

Chemical na Pink wameanza kufanya kazi pamoja na kufanya vizuri katika wimbo wao wa achana na mimi.wasanii wa hip-hop sasa wameweza kuamka na kuungana kufanya kazi pamoja .wasanii kama Roma na Stamina wameunda umoja wa Rostam, lakini pia  Moni Centrozne na Country Boy wameweza kuunda MoCo.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.