Unakuta kila mtu anaamka akiwa kwenye mood zake. Labda tumepanga kushoot halafu unakuta huyu hayupo kwenye mood nzuri. Lamar azungumzia ungumu anaopata kufanya kazi na wanawake

Producer Lamar kutokea Fishcrab leo March 22, 2017 alijotokeza kwenye interview Ayo TV entertainment ambapo alizingumzia mambo mbalimbali kuhusu muziki.

Sana sana alitajia experience yake ya kufanya kazi na wanadada wa kundi la Shostiz ambalo lilikuwa linaundwa na wasanii watatu wa kike akiwemo mwanadada Menina ambapo alisema sababu kubwa ya kuvunjika kwa kundi hilo ni ugumu aliokuwa anaupata katika kuliongoza kundi la muziki lenye wanamuziki wanawake tupu.

“Unajua kuwacontrol wanawake ni ngumu sana. Unakuta kila mtu anaamka akiwa kwenye mood zake. Labda tumepanga kushoot halafu unakuta huyu hayupo kwenye mood nzuri. Ilikuwa ni ngumu kwangu pia walivyotengana na kila mmoja kuolewa, so ikawa ngumu kwa kundi kuendelea.” – alieleza matangazaji wa Ayo TV.

Tazama video yake hapa:

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.