Mwanamuziki wa siku nyingi Q-chillah amefunguka na kusema kuwa kumekuwa na tabaia ya wasanii wachanga kuwaita wasanii wa mika ya nyuma kuwa ni ma-legends wakati umri wao haulingani kabisa na jina hilo wanaloitwa na huko ni kuwashishia heshima wasanii hao.
Q-chillah anasema kuwa kuna umri ambao wanamuziki wakifika wanapaswa kuitwa majina hayo lakini sio wasanii vijana kabisa ambao bado wanafanya kazi a muziki na kuwaita majina ya ma-legneds huko ni kuwashishia heshima wale wanaopaswa kuitwa hivyo.
Q-chillah anasema kuwa kama msanii alishafanya kazi na akafariki na kazi ake ilionekana huo anafaa kuitwa legend sio hawa wasanii wa sasa hivi ambao bado wako wanapiga kazi na bado unakuwa unawaita kuwa ni ma-legends.
kuwaita wasanii lgends wakati wana mika 32, au 33 hio sio sawa na michael jackson aitw nani, bi chuka nae aitwe nani, so when you call me to ask me about this question of me being a legend am just like you f*** am not a legends, am sorry….i could be god of bongo fleva but not legend.