Q-Chillah Anahitaji Msaada :-Mkewe Afunguka

Ikiwa ni kama wiki imepita tangu msanii wa muziki wa bongo fleva Q-chief kutangaza kuachana na muziki na kufunguka mengi kuhusu maisha yake na kazi zake za muziki kwa ujumla amefunguka , mke wake anaejulikana  kwa jina moja la Eliza amefunguka na kuongelea swala la mume wake.

Eliza ambae hapo awali aliripoti wa na Q-Chilaah mwenyewe kuwa alimkimbia mume wwake anasema kuwa sio kweli kwamba alimkimbia mume wake bali mme wake aliwahi kumfanyia vurugu na kumtolea vitu nje hivyo yeye kuamua kuondoka.

katoka kunifanyia vurugu sasa hivi, kanitukana na kunifukuza kabisa kuna makosa amefanya ila iswezi kuzungumza hadi aibu kuongea kuna vitu alikosea na  akaondoka mwenyewe  ameamua mwenyewe wala sikumfukuza na hayo ndio maish aliyoyachagua kwaio sina la kuzungumza kuhusu hilo.sasa ndio maisha laiyoyachagua kasema kaacha muziki kamrudia mungu  ambalo ni swala jema tu ila hayupo sawa kabisa anahitaji msaada.-Aliongea mwanamama huyo katika kipinid cha FNL cha EATV

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.