Kuna Watu Wanatabia Ngumu Hazibadiliki;-Shamsa Ford

Mwanadada Shamsa Ford ambae kila siku amekuwa akitoa ushauri kwa watu hasa wanawake wenzie kuhusu mahusiano ,amefunguka na kusema kuwa wanawake wengi wamekuwwa wakiumia kwa sababu wanajikuta wakiingia katika mahusiano na wanaume ambao tayari wanakuwa wanajua kuwa wanatabia ngumu lakini mawazo yake yote anahisi akiwa nae basi yeye atambadilisha.

Kitu kikubwa ambach wanawake tunajidangaya ni kuanzia mahusiano na mwanaume amabe unajua kabisa kuwa anatabia ngumu , huku ukijipa moyo kuwa utambadilisha na atabadilika , tabia ya mtu ni kama nguo ameshindwa kumbadilisha mama yake utambadilisha wewe.

Shamsa amekuwa akitoa maneno makali sana kwa jamii huku mengine yakienda wa jamii moja kwa moja na watu kujifunza kitu kupitia yeye huku wengine wakimsema na kupingana ane kabisa.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.