Mamia ya Watu Maarufu Waguswa na Kilichotokea Kenya

Baada ya kutokea kwa shambulio la kigaidi siku ya tarehe 15 january mwaka 2019 ambapo kwa kenya litakuwa jambo lakihistoia,lakuogopana kutisha pia kutokana na kupoteza kwa ndugu jamaa na marafiki , baadhi ya wasanii na watu maarufu wameguswa na swala hilo hivyo kujikuta wakielezea hisia zao .

baadhi yawasanii hao ni pamoja na diamond, rayvanny, mwana Fa, vanesa mdee, nikki wa pili na wengine weng huku maombu yao makubwa ikiwa ni kuwata moyo na kumuoma mwenyezi mungu kuwaepusha na kubwa zaidi.

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameandika: “Maombi yangu yapo kwenu KENYA…Poleni sana na Inshaallah Mwenyez Mungu atawasimamia.”

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu aliandika “Unfolding situation at Dusit hotel in Nairobi following terror attack moments ago. I pray for the safety of everyone caught in harm’s way. I can see helicopters flying over and security and emergency services personnel rushing in and out. Sad indeed. Mungu awasaidie waokoe maisha.”

Naye Rayvanny ameandika “Poleni Sana Ndugu Zangu #KENYA MUNGU YUPO

Nae idris nauliza kwa machungu uwa kama bado nchi za afrika tumekuwa kila siku tunapambana na kuutatua umaskini , tunapata wapi muda wa kuuwana kiasi hiki.

 

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.