Mwanadad kutoka bongo movies ambae kwa sasa amejiingiza katika maswala ya muziki Tiko Special amefunguka na kuiambia timamu tv kuwa anatangaza kipigo kwa mwanadada husna sajeny kwa kuwa amekuwa akichafulia jina baada ya husna kusema kuwa maemuibia bwana ambae ni dullah makabila.
Dullah na Husna ambae walikuwa mtu na meneja wake na baadaye kuingia katika uhusiano wa kimapenzi lakini ikasemekana kuwa wawali hao wameachana bado haijaahamika kama wamesharudiana kutokana na ukimya kati yao, hata hivyo tiko anasema kwake haijakishi kitu.
Tiko anasema kuwa kama husna anajua huyo dullah ni mume wake basi anataka akae na mwanaume wake ndani na kumtuliza sio kutangaza kuhusu jina lake.
ipo siku nitapaniki na kuamua kumpiga huyo husna,kwani kama huyo dullah ni bwana wake kwanini asimtulize kutwa kukaa anapita anatangaza kuhusu mimi, mwambieni atulie.
Hata hivyo tiko nasema kuwa kwa sasa ameamua kuingi aktika muziki na hata ukaribu wake na Dullah ni kutokana na kazi za muziki na sio vinginevyo.