Vannesa Mdee na Barnaba Waja Style Mpya Tena kwa Mashabiki

Wasanii Vannesa Mdee na Barnaba wanategemea kutoa wimbo mpya baada ya picha zao nyingi zikiwaonyesha wakiwa location za miraani na uswahili zikiwa zinazagaa sana katika mitandao ya kijamii, wawili hao walishawahi kutoa wimbo wa SIRI uliofanya vizuri san siku za nyuma na sasa wamerudi tena.

vannesa mdee akiwa location kwa ajuli ya nyimbo mpya

vannesa mdee katika muonekano mpya wa wimbo wake huo unaonyesha wenye maadhi ya kiswahili.

 vannesa mdee akiwa na barnaba katika location ya wimbo mpya.

mwanadada vanesa mdee akiwa na baadhi ya watu wanaotegemewa kuonekana katika video hiyo.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.