Diamond Atoa Sababu ya Kuanzisha Wasafi Tv Zanzibar.

Msanii mkubwa bongo ambae sasa hivi amejikuta akingia katika headlines nyingi baada ya kuwa msanii wa kwanza Afrika kuamua kuanzisha radio na televisheni yake kwa ajili ya kusapoti kazi za wasanii wake na wasanii wengine nchini Diamond platinumz amefunguka dhumuni lake la kufunguaradio yake mjini Zanzibar..

Diamond ambae aliamua kufanya hivyo na kuanza kutafuta watangazaji wa tv  na radio kutoka mitaani huku akisema kuwa lengo lake kubwa la kutafuta wafanyakazi kutoka mitaani ni kwa sababu anaamini kuwa mitaani kuna vipaji vinhgi sana lakini havijapata nafasi ya kuonekana kutokana na hali mbalimbali za kiuchumi na matatizo mbalimbali.

Hata hivyo radio na tv hiyo kwa mara ya kwanza itafunguliwa mjini Zanzibar na hata usajili wake ulikamilika jumatatu ya wiki hii huko mjini zanzibar ,akiongea na vyombo vya habari Diamond anaelezea kwa kina ni kwa nini aliamua kuanzisha hayomyoye zanzibari na sio dar kama ilivyozoeleka.

Diamond ansema kuwa nataka kuonyesha kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya bara na zanzibar kwa sababu radio hiyo ipo kwa ajili ya watu.

tunataka kutoa matabaka na kuleta usawa kwa kila mtu  na ndio maana sisi unakuta tunatembea wote kila kukicha , lakini pia Zanzibar kwa sababu imeleta attentionkwa watu , tumeona tuanzie zanzubar wa sababu watu wegi hawajawahi kutuona zanzibar ili kuwaonyesha kuwa kumbe hata hiki  ni chetu wote na sio cha wasafi peke yao,Zanziibar kuna watalii wengi sana hivyo tunataka kupromote na kuonyesha kuwa sisi ni wa moja na kuonyesha ule muungano na kwamba kunawatu wengi wakubwa wanatokea huku.

Wasafi Tv Yafanyiwa Usajili Rasmi Mjini Zanzibar

Yale mafanikio yaliyokuwa yakisubiriwa kwa muda mrefu kutoka katika lebo ya wasafi sasa yameanza kuonekana na kufankiwa baada ya uongozi wa lebo hiyo ikiongozwa na Diamond Platinumz mwenyewe kukamilisha usajili wa televisheni hiyo uliofanyka siku ya February 26 mjini Zanzibar.

Televisheni hiyo imepata kibali cha kufanya kazi kutoka kwa waziri wa habari, uatamaduni sanaa na michezo mjini humo na kukabithiwa vyeti halali vya ufanyaji kazi wa televisheni hito.

Baada ya kukamilisha usajili huo ,Diamond na team yae waliendea na zoezi la kuatafuta watangazaji  wa televisheni hiyo uliotarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Ngome kongwe huko Zanzibar  huko akiwa ameandamana na Zamaradi Mketema ambae inasemekana kuwa ndio atakuwa meneja wa utayarishaji wa vipindi wa televisheni hiyo.

Diamond alihaidi kutoa kwa vijana kupitia radio na televisheni hiyo kwa sababu amekuwa na ndoto ya kusaidia vijana ambao wana vipaji na wanauwezo wa kufanya kazi lakini kuna baadhi ya mambo yanayowafanya washindwe kukamilisha ndoto zao.

 

                                    

                                    

                               

                                     

                                        

 

 

 

Maromboso Akaribishwa Rasmi Wasafi.

Lebel kubwa ya muziki ya Wasafi nchnii  inayofanya vizuri katika swla la muziki limeamua kumchukua rasmi msanii Maromboso na kufanya nae kazi  za muziki.Maromboso ambae alikuwa katika kundi la Ya Moto Band ambalo limevunjika miezi kadhaa iliyopita alikuwa akionekana kuandamana na wasanii kutoa wasafi na sasa wameamua kumtambulisha rasmi kwa mashabiki wake kuwa ameingia katika kundi hilo.

Katika sherehe hiyo ya kutambulishwa kwake msanii huyo ametambulisha pia wimbo wake unajulikana kama Watakubali ambao ameanza kufanya chini ya lebel hiyo. akiongea na waandishi wa habari Diamond Platinumz ambae ndio kiongozi wa wasanii wa wasafi anamesem kuwa kuanzia sasa hivi mashabika wake wakijua kuwa maromboso ni msanii kutoka kwao.

huyu ni mwanamuziki mwenzetu anaitwa Mboso,zamani alikuwa ya moto band lakini sasa hivi pia tumeungana nae  kaktika haakati za kuupeleka muziki wetu sehemu flani.tukkuwa nae tangu zamani kidogo lakini sasa hivi ndio tumeamua kmtambulisha na ataanza kufanya kazi zake sasa.

Msanii Diamond akiingia ukumbini na Maromboso.

Wema Sepetu  pia alikuwa ni mmoja wa watu waliokuwepo katika party hiyo.

Rayvanny,Harmonize na Queen Darleen ni wasanii wakongwe katika kundi hilo.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.