Shigongo Awasifia Wema na Diamond kwa Hili.

Mjasirimali na mwandishi wa viatnu maarufu nchini, Eric Shigongo amefunguka na kusema kuwa pamoja na mambo mengi ambayo yamekuwa yakiandikwa juu yao wasanii hawa wawili Wema na Diamond  wamekuwa wasanii wastaarabu ambao hawakurupuki na kuanza kupiga smu kwa waandishi   na kugombana nao kwa taarifa zinazokuwa zinasambaa katika magazeti.

Akiweka hiyo kama moja ya sifa za kumsifai diamond kwa tabia nzuri kati ya wasanii wengi wakati anaandika makala yake inayohusu jinsi alivyofurahishwa na uamuzi wa diamond  kuamua kusaidia  watu wa tandale ikiwa kama moja ya kurudisha fadhila kwa jamii yake, eric anasema kuwa Diamond na wema ni wat wanaokaa kimya sana yanapotokea mambo ya mitandao.

Namfahamu Diamond kama moja ya vijana watiifu sana, mkarimu mwenye heshima na adabu  na asiependa ugomvi na watu wanaomzidi umri.Mungu ni shahidi yangu kuwa ni watu wawili tu kwenye hii nchi wanaweza kuona kitu kimeandikwa katika magazeti na bado wasipige simu kugombana na waandishi,  watu hao ni Diamond na Wema Sepetu.

 

 

Wema Atoa Siri ya Diamond Kutoka Kimapenzi na Meninah

Mwanadada wema sepetu ametamka hadharani kitu ambacho inawezekana ni watu wengi hawakuwahi kukijua kuwa aliyewahi kuwa mpenzi wake msanii Diamond Platinumz alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanadada meninah abdul ambae pia ni msanii wa bongo fleva nchini.

Akiongea na mwandishi wa habari, wema alijibu hivyo baada ya kuulizwa kuhusu swala ya yeye kukubali au kukataa kuolewa na Diamond endapo msanii huyo ataomba kumuoa ndipo aliposema kuwa yeye anamjua dimaond kuliko mwanamke mwingine yoyote hivyo hawezi kuolewa nae kwa sababu hata kipindi cha nyuma aliweza kumuacha yeye na akaenda kutembea na Meninah.

Ilikuwa zamani , sio sasa hivi kwa sababu nasibu nimekaa nae sana kwa muda wa miaka miwili .najua alivyo na hatanisumbua sana kwa sababu mimi nilimwacha CK  kwa ajili yake lakini  matokea yao alikuja akatoka kimapenzi na meninah  na meseji nilizibamba.kwahiyo hata kwenye ndoa hawezi kubadilika , yuko hivyo.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.