Hakuna Nchi Inaitwa Bongo:-Young Dar Es Salaam

Msanii wa muziki wa bongo fleva ambae amefungiwa wimbo wake wa bongo bahati mbaya amefunguka tangu alipofungiwa wimbo huo kuachwa kuchezwa katika vyombo vya habari .

Young Dee anasema kuwa kwa uelewa wake yeye niabuwazirialitakiwa amuite na kumuuliza ni kitu gani ambacho anatamani kiwepo ambacho anaona kuwa akienda nje  atakipata nahuku akipo ili kiboreshwe lakini badala yake wameona ni bora kuufungia wimbo.

Young Dee anasema kuwa kwa anavyojua yeye  hakuna nchi inaitwa bongo ila tu ni ubunifi wake hivyo anaweza kuwa hata yeye hajaaminisha kuwa bongo ni Tanzania, lakini kutokana na tasfiri tofauti ndio sababu ya kufungiwa kwa wimbo wake.

#BONGOBAHATIMBAYA  hii ni aibu eti wimbo hauna uzalendo ,naamini kuwa kungekuwa na mwanasheria mzuri huu wimbo wala usingefungiwa , kwanza hakuna nchi inaitwa bongo pia darsalaam ndio jina la kawaida kabisa , bongo inaweza kutumika kama lengo lilikuwa ni uzalendo wangemuuliza kuna mambo gani ambayo unatamani yatimizwe ili hasitamani kwenda ulaya abaki nyumbani.

@juma_jux kwa niaba ya wasaniiwa RnB ni jambo la ajabu kufungia wimbo kama huu ambao u romantic wake hauna hata tofuati na kina chriss brown

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.