Nilimwambia Mimi Ni Tofauti na Wanaume wa Dar :-Abdi Banda

Mchezaji mpira wa timu ya taifa ambae kwa sasa yuko Afrika ya Kusini na mke wake ambae ni dada wa msanii mkubwa Afrika, Alikiba, amefunguka alipokuwa akifanya mahojiano na Global Tv na kuelezea maisha yake ya ndoa  na mke wake huyo ambae ndoa yao bado ni changa.

Akianza kuelezea mara ya kwanza waliwahi kuonana na kuzungumzia mahusiano yao, Zabibu Kiba anasema kuwa swali alilowahi kumuuliza ni kwamba yeye ni mwanaume wa aina gani kwa sababu anahofia sana wanaume waongo na wenye maneno mengi.

Hata hivyo Abdi Banda alijibu na kumwambia kuwa katika vitu alivyowahi kumwambia na kumuondoa wasiwasi ni kuwa yeye ni mwanaume wa tanga sio mwanaume wa Dar .

mimi nilimwambia kuwa mimi ni tofauti na wanaume wa dar , mimi natokea tanga mapenzi yaliozaliwa kwaio aamini icho kitu  kipo.-Alisema Abdi Banda.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.