Zaiid Amjibu Afande Sele Kuhusu Wimbo Wake wa Wowowo

rapa zaiid amemjibu msanii mkongwe na wa siku nyingi katika fani ya muziki afande sele  bada ya afande sele kuuponda sana wimbo wake wa wowoow ambao kwa upande wake anasema umefanya vizuri na kumuongezea mashaniki wengi kuliko hapo awali.

Zaiid anasema kuwa anaheshimu sana mawazo ya Afande Sele kuhusu wimbo huo pamoja na kwamba mawazo hayo yanapingana kwa kiasi kikubwa  na watanzania wengi walioupenda muziki huo.

mimi kwanza namheshimu sana afande sele kwa sababu yeye amenikuza katika game lakini sasa anaenda kinyume na mawazo mengi ya watanzania,unajua usibishane na umma, umma ndio ulioamua kuupitisha huo wimbo.By the way hpo awali aliwahi kutuma sms kwenye magroup ya whatsaap na kusema kuwa hanijui.

afande sele kasema hivyo na mimi siwezi kumbishai kwa sababu mwisho wa siku tutaanza kujaji who hip hop is? unaelewa zile, afande ninamheshimu na nina heshimu sana mawazo yake.

Zaiid ambae anasema kuwa pamoja na kwamba kuna changamoto kama hizo lakini wimbo wa wowowo umemtembeza mikao karibia yote huku ikimtambulisha kwa mashabiki wapya.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.