Zamaradi akumbuka fadhila za Babu Tale

Mwanadada zamaradi mketema amefunguka jinsi maisha ya mdau babu tale yalivyogusa maisha yake kwa kuwa waliwahi kukutana sehemu ambayo waliweza kukutana na hata kusaidiana na kuelekezana karibia kwa kila  kutokana  na mazingira waliokuwepo.

zamaradi mketema ameandika hayo ikiwa siku zahapo nyuma karibuni ilikuwa ni sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa  ya babu tale.

katika ukurasa wake zamaradi aliandika “Miaka KUMI iliyopita tulikutana, Ukawa Mtu wa kwanza kuthamini nilichonacho, maana wengi walikiona lakini hakuna ambae alijishughulisha nacho zaidi ya kunisifia, But you went Extra Mile kwa kuthamini na kunipa njia iliyofungua MILANGO YANGU MINGI, na kwa hilo sitaacha kukuthamini’ ASANTE KWA KUNISHIKA MKONO’ bado nakumbuka  
Jirani yangu na Partner wangu wa simu za ghafla na Dharura, I APPRECIATE YOU!!’ Nikutakie Heri katika mwaka wako mpya uliouanza leo hii, na MUNGU akakujaze HEKMA katika maisha yako’ 
HAPPY BIRTHDAY TO YOU!! Babu Tale”

Ni wachache wanaokumbuka fadhila na jinsi  watu wengine walivyowea kuwasaidia kuhusu wilipotoka.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.