Kigugumizi Cha Steve Nyerere Kuhusu Mtoto Wake
Msanii Steve Nyerere wikiendi iliyopita alipata kigugumizi kuongea moja kwa moja na kuweka wazi juu ya mtoto wake na msanii mwenzake Weru Sengo, picha ambayo ilisambaa sana katika mtandao wa kijamii ikimuonyesha mtoto huyo yupo katika picha ya pamoja na Steve Nyerere.
Hata hivyo baada ya picha hiyo kuweka , siri ilivuja baada ya Wema Sepetu kuongea moja kwa moja kwamba mtoto yule ni wa steve na weru sengo na ndipo waandishi wa habari walipoamua kumpiagi simu steve nyerere mwenyewe na kumuuliza ju ya ujume huo ambapo steve akipatwa na kigugumizi na kushida kabisa kuzungmzia swala hilo.
Alijibu ; mimi sijui chochote waulize walimwengu wanajua…ama unataka abari naomba uandikke kuwa mimi nitawafutulisha wasanii wote siku ya jumamosi katika viwanja vya leaders club, kuhusu hizi picha wala sio mimi niliezitupua.”
Kwa muda mrefu wasanii hawa wamekuwa wakikata na kusema kuwa hawana uhusiano wowote na kwamba hawataki kulizungumzia hilo.
