Unauwezo wakufika popote pale unapotaka kufika!! Nunua Tiketi ya ndege Kwa Punguzo hadi asilimia 47%.

Unadhani Kusafiri iko nje ya uwezo wako? Tunakuthibitishia kua wazo hili sio la kweli tena mwaka 2019. Endelea kusoma ili ufahamu jinsi ya kupata tiketi za ndege za gharama nafuu kabisa.
Ofa Zetu ni kama Ifuatavyo,..

Aviasales Tanzania hutoa huduma ya kutafuta tiketi za ndege za gharama nafuu kabisa, Hifadhi ya Hoteli, na huduma nyingine za usafirishaji kwa njia ya mtandao. Je Umevutiwa? Je wewe ungependa hudama hizi? Unaweza kutupata kwa kupakua App yetu kwenye simu yako au kwa Tovuti yetu ya www.aviasales.co.tz.

download latest music    

Tunakupa Ofa kabambe mbalimbali na tiketi za bei poa kabisa. Ni bure kabisa kupata huduma hii. Tunalinganisha bei za Tiketi zote za ndege zilizopo kutokana na mahitaji, na tunakupatia yenye gharama nafuu kabisa.

Bismark Rock, Jijini Mwanza
Bismark Rock, Jijini Mwanza????????????

Tovuti na App zetu ni rahisi sana kutumia, unaweza kuchagua unapoelekea,Tarehe ya safari na muda wa kuondoka na kufika. Una nafasi ya kupata chaguzi kadhaa kuhusu mizigo yako, Vituo na muda wa safari,ndege na vingine vingi…..

Jipatie tiketi za bei cheeee kabisaaaa!!!

Tembelea tovuti ya aviasales.co.tz  au pakua App yetu AviaSales kwenye simu yako ili tiketi yako ya ndege isikugharimu.

About this writer:

Joe Goga