Shikaane Wafungukia Muziki wa Tanzania, Wawataja Vannesa, Alikiba na Diamond.
Wasanii wanaofanya vizuri nchini Nigeria wanaotaka katika familia moja wanaojulikana kama shiikane wamefunguka mengi kuhusu muziki wa Tanzania na jinsi walivyojipanga kwa ajili ya kuuendeza muziki wao Tanzania na Afrika mMashariki kwa sababu hawajawahi kufika kabisa pande hizi.
Wadada hao ambao mmoja akuita kuonyesha hisiazake kwa mwanadada Vannesa Mdee alisema kuwa anatamani sana kuonana na Vannesa na kufanya nae kazi huku akisema”i like she is pretty, beautiful and talented and very nice voice, i like her a lot, we love to work with her and we will . we love to work with diamond, ooh alikiba , we love to work with alikiba actually, and we already work with chin bees.
Wakiongea huku wakionekana wenye furaha wadada hao watatu wanasema kuwa wanatamani sana koabo yao ya kwanza wafanye na alikia sana na wanatamani kufanya nae kazi nyingi alkifatiwa na Diamond.
Shiikane wanasema kuwa kazi yao kubwa iliyowaleta Tanzania ni kwa ajili ya kutangaza kazi zao na kuangalia jinsi ya kufanya kazi na kujenga uhusiani mzuri na wasanii wa Tanzania.
