Gigy Money Atangaza Kuchumbiwa na Mwanaume Tofauti na Mo jay

Mwanadada Gigy Money kwa mara nyingine tena ametangza kuchumbiwa na mwanaume kutoka zanzibar ambae ni tofauti nayule ambae watu walizoea kumuona ambae ni baba wa mtoto wake mmoja.

Gigy Money anasema kuwa amechumbiwa na mwanaume huyo kutoka zanzibar na soon wanatarajia kufumga ndoa na huo ndio uamuzi aliuuchukuwa baada ya kuona watu wamekuwa wakihoji maswali mengi baada ya kusambaa kwa picha nyingi katika mitandao ya kijamii akionkana na mwanaume mwingine tofauti na baba wa mtoto wake.

download latest music    

Kuhusu Mo jay , Gigy Money amesema kuwa ameshindwana na mo kwa sababu ya tabia zake,lakini kama utakumbuka siku za hapo nyuma kulikuwa na ugomvi mkubwa kati  ya Gigy Money na Mo Jay kufikia hatua ya kutengana kabisa kwa sababu ya maswala yao ya kifamilia.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.