Picha ya Wanjara na Mwanamke Mwenzie Yazua Utata.

Mwanadada Rashida Wanjara ambae aliwahi kushiriki taji la miss tanzania mwaka 2000 alikumbwa na tetesi za kuwa na tabia zisizo sawa baada ya kuonekana katika picha zilizosambaa mitandaoni akiwa na mwanamke mwenzake wakiwa katika pozi tata.

Hata hivyo mwanadada huyo anaonekana kutokujali kuhusu maneno hayo na kusema kuwa hawezi kuwazuia watu kufikiria vile wanavyotaka kufikiria hata siku moja.

download latest music    

Huwezi kuwazuia watu kufikiria vile wanavyofikiria kwa sababu kumbusu mwanamke mwenzangu wala sio kosa, na ni kitu cha kawaida sana na hakuja jambo baya wala la ajabu na hakuna cha zaidi 

Hii imekuwa ni tabia ya mastaa wengi wa kike kupiga picha tata na wanawake wenzao kitendo kinachowafanya mashabiki kupoteza imani nao.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.