Haji Manara Amkabithi Diamond Tuzo ya Heshima.

Msemaji mkuu wa timu ya simba haji manara amemkabithi msanii Diamond Platinumz tuzo ya heshima kwa kuwa amekuwa akilitumia jina hilo la simba ipasavyo hasa kutokana na juhudi zake anazozionesha katika maswala ya muziki.

Haji manara anasema kuwa kitendo cha diamond kulitumia jina la sima vizuri limewashawishi wao kumpa tuzo ya heshima katika siku yake ya kuzaliwa msanii huyo.

download latest music    

Haji Manara anasema “kutumia jinala simba ni kuzidi kutanua brabnd zetu zote mbili, sisi kama club ya simba tunakukabisthi  tuzo ya hsehima lakini pia na keki hii yenye picha ya simba katika kusherekea siku yako ya kuzaliwa.

October 2 msanii diamond husherekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake ambapo mwaka huu watu wengi wamempongeza kwa hatua kubwa aliyofikia katika muziki wake lakini pia kwa kuwainua zaidi wasanii wengine.”

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.