I Am the BASATA, Mimi Natakiwa Niwe BASATA ;-T.I.D
Msanii wa siku nyingi wa bongo fleva T.I.D amefunguka na kuongea kwa hasira huku akisema kuwa basata hawana chchote wanachofanya zaidi katika muziki wa bongo.
T.I.D anasema kuwa kinachomuuma zaidi ni kwamba mara nyingi basata wamekuwa wakiita wasanii katika ofisi zao lakini wanachofanya ni kuwaalika wasani ambao ni wachanga na hawajawahi kumualika yeye katika vikao vyao.
Mimi hawajawahi kunialika zaidi ya kualika hao watoto wa juzi tu,naona basata hata hawatumii akili.Ndo maana kuna siku nilivunja vunja yale mabango it was hurt mi naangaika kufanya kazi na kazi yangu imetembea,mi naona hakuna basata mi naona mimi ndo natakiwa niwe basata , I AM THE BASATA.
Wasanii wengi wamekuwa wakichukizwa na maamuzi na misimamo ya basata katika kazi za wasanii huku wakilalamika kuonewa na maamuzi ambayo yamekuwa yakichukuliwa kla siku kuwa ni ya kumkndamiza msanii.
