Kisa Diamond,Harmorapa Atafuta Kiki Kwa Jokate na Wema.

Baada ya kuukashifu wimbo mpya wa diamond , harmorapa ameendelea kumpondea msanii huyo kwa kuwatolea povu hata watu ambao wamekuwa wakionyeshwa kuuelewa wimbo huo na kazi ya msanii diamond.Harmorapa amewatolea povu wanawake wa zamani wa dimaond jokate na wema ambao waliweka post katika ukurasa zao za instagram kwa kumpongeza diamond kutokana na nyimbo hiyo.

Harmorapa anasema kuwa wanawake hao wamefanya kazi ya kumsifia Diamond ili kumshusha Alikiba ambae ni hasimu mkubwa wa Diamond katika muziki.Harmorapa anasema kuwa wanawake hao wanafanya hivyo wakitegemea kupata kitu chochote kutoka kwa Diamond lakini yeye anawaambia kuwa hawatapata chochote na hata kama wanataka kumshusha alikiba basi kamwe hawataweza.

download latest music    

Naona hawa wadada na wadangaji wengine wameungana ili kumshusha #kingkiba nawachana nyie wadangaji aliyepewa uwezo amepewa tu.na nyie bora tu mkomae na uwezo wenu mliopewa wa kudanga , mnazani mkipost nyimbo za kama #simbachibudangote ndio mtamuumiza moyo #kingkiba, ndo maana mmechezewa mmeachwa , #JOJO  umechezewa na fundi #salehealikiba amekuacha kaenda kuona mtoto chokoleti huko mombasa, eti hasira zako umeziamishia kwa bro #chibu  kumpost ili umuumize ali.hili liwema nalo limechezewa na huyochibu likaachwa na nafasi ikachukuliwa na african beauty zari alielishinda kila kitu kuanzia pesa, followers haadi mguu wa bia eti likaanza kumtongoza #king kiba ili amkomeshe #king nae akapita nalo akalitema lkaona bora arudi kumuharibia mrembo wa dunia # zari ndoa yake nalo sasa hivi limerudi tena kumshusha #king , sasa na mimi harmorapa likijirengesha tu na mimi napita nalo na ninaenda kumuona demu wangu wa zamani.

Hapo mwanzoni harmorapa alishawhi kufunguka kumponda sana Wema Septu kufikia hatua mpaka ya kwenda kwa waganga kwa ajili ya kumapata lakini ilishindikana.hasira hizi zinakuja baada ya msanii Diamond kutoa wimbo wake mpya  pamoja na kuzindua album yake ambayo imemfanya Diamond ku-trend kila kona ya mitandao na vyombo vya habari.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.