PCK Amtisha wema Wuvujisha Picha nyingine Kama Hatofunga Nae Ndoa

Mwanaume aliyesema kuwa alimtapeli mwanadada wema sepetu hata baada ya kumtangaza kuwa ndie angetakiwa kuwa mme wake amemtumia smsm nyingi za kitisho mwanadada wema sepetu kwa kumwambia kuwa kama atakuwa na wazo la kuhairisha kufunga  nae ndoa basi hakutakuwa na maelewano kati yao.

mwanadada huyo ambae kwa sasa yupo katika wakati mgumu hasa baada ya video zake akiwa na mwanaume huyo kuvuja anajikuta katika wakati mgumu tena kwa sababu mwanaume huyo bado amemtisha kuwa amekuwa na picha zake nyingi ambazo yeye hakuwahi kujua kama anazo na kama atakaa kuolewa nae basi atamchafua na picha hizo.

download latest music    

katika maongezi hayo ambayo yamevuja katika mitandao, mwanaume huyo anamwambia wema kuwa kitu cha kufanya kwa sasa ni kujitahidi kufunga nae ndoa kwa sababu yeye anamtaka wema na sio kitu kingine.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.