Pesa Yakwamisha Ndoto ya Gigy Kuwa kama Nick Minaj
Mwanadada Gigy Money ambe hivi karibuni kulienea kwa picha katika mtandao wa instagram akiwa na mwanaume mwingie na kusema mwanaume huyo kutoa Zanzibar ameamua kumchumbia na hivi karibuni wanategemea kufunga ndoa.
Hata hivyo katika interview zake , gigy moenya kama akwaida amekuwa mtu wa kuongea mambo mengi na mengi yenye drama za hapa na pale kuhusu maisha yake na ya wasanii wengine kwa ujumla.
Gigy amezua tena balaa jingine na kuongelewa katika mitandao ya kijamii baada ya kusema kuwa amekuwa na ndoto ya kutengeneza maziwa yake ili yawe kama yale ya mwanadada kutoka nje Nick minaj lakini anakwama kufanya hivyo kutokana na kukosekana kwa pesa .
Gigy anasema kama angepata pesa bas angetengeneza maziwa yake kwa gahrama yoyote hile.
