Steve Nyerere Awacharukia Wasanii wa Kike.

Msanii wa bongo movies anatoa maoni yake na kutoa dukuduku lake  kuwa wasanii wengi wa kike wamekuwa na tabia ya kutumia pesa nyingi sana katika matuzmizi yasiyo ya lazima na kufanya utumizi wa pesa kuwa mkubwa sana.

Akizungumza na EATV, Steve Nyerere anasema kuwa wasanii hawa wa kike wana maisha ya kuigiza sana katka mitandao  badala ya kutumia pesa hizo kwa ajili ya kujenga maisha yao.

download latest music    

Dada zetu wanamaisha ya show time ya kutishana na ujajua ukiwa na maisha ya kutishia wanawake wenzako maisha yako yanakuwa yatakuwa yanaenda hovyo sna, utakuja kukumbuka baadae sana.tuna maisha yake ya gari zuri, nyumba nzuri ya kupanga kwa mwezi milioni, salon za mara nne kwa wiki na je umjitayarishaje na maisha ya uzeeni.

mtu anaona yuko tayari kufanya birthday ya milioni 80 kwa gaharama ya siku moja tu na  wakati kuna uwezekanao wa kukaa na familia yako tu na mkafanya siku yenu ikawa nzuri.

Hata hivyo  wasanii wengi wa kike wamekuwa na tabia ya kuishi maisha mazuri ya anasa  kuwanufaisha wale wanaowaangalia katika mitandao na kusahau kuwa kuna maisha ya baadae.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.