Steve Nyerere Sio Star Kwangu ni Panya tu.:-T.I.D
mwanamuziki T.I.D amefunguka kwa hasira na kusema kuwa msanii wa bong movie steve nyerere amemdhalilisha baada ya kuvuja kw avideo clip iliyokuwa ikisikika steve nyerere akiwataja baadhi ya wasanii waliokuwa wakiongwa pesa ili kusapoti kitu flani,
T.I.D anasema kuwa kwake yeye hatumii kiki ili kukuza jina lake na kama steve amekuwa akifanya hivyo kwake anamuona kama panya tu , kwa sababu wasaniii wamekuwa wakifanya mambo ya ukaghai ili kukuza majina yao lakini yeye jina lake amelitengeneza kwa juhudi zake mwenyewe.
Steve nyerere sio staa kwangu is a mouse, he is a mouse ebu niangalie mimi, i have ben doing this kwa miaka mingi na nimejijengea umaarufu kupitia kipaji changu,sio kupitia uongo uongo na udananda na kuongea ongea, i have been working so hard kutengeneza jina langu , mimi amenidhalilisha sana kwanini anizungumzie mimi, mimi milioni mbili kwangu si kitu.
