Ghafla! Tanzania
  • Entertainment
  • Lifestyle
  • Music
search
search

Tag: Mtoto wa Rayvanny news

Picha 10 za mtoto wa Rayvanny – Jaydan

Posted on July 21, 2017July 21, 2017 by Martin Oduor
Picha 10 za mtoto wa Rayvanny – Jaydan

Rayvanny na mpenzi wake Fahyma walijaliwa kupata mtoto wa kiume miezi mitatu zilizopita. Muimbaji huyo alikua mzazi kwa mara ya kwanza mtoto wake alipozaliwa.

Jaydan, mtoto wake Rayvanny, ameanza kufanana na babake kwa umbali. Tazama picha za mtoto huyo hapo chini:

Posted in EntertainmentTagged Mtoto wa Rayvanny news, Rayvanny news
Ghafla! Tanzania | Copyright © 2026 All Rights Reserved