Majirani Wamtuhumu Wema Kufuga Mashoga

Msanii wa filamu za bongo madame Wema Sepetu atajikuta akiingia matatani tena baada ya watu wanaoishi nae karibu kumutuhumu kwa kosa la kufuga wanaume wanabadili jinsia zao(mashoga) nyumbani kwake salasala.kwa mujibu wa watu wa karibu na nyumbani kwake wanasema kuwa Wema Sepetu amekuwa akikaa na mashoga kwa muda mrefu sasa kitu kinachowakera majirani mapa kutaka kufikia hatua ya kumshitaki polisi.

Unajua tabia yake hii ni ya muda mrefu sana na imekuwa ikiwakera sana hasa majirani zake kwa sababu wengine wana watoto wa kiume na wamekwa wakiofia sana isije ikawaharibu watoto wao,

alikuwa akiongea aisema kuwa wema amekuwa na tabia hiyo kwa muda mrefu sio hapa tu ambapo amehamia juzi lakini hata kule ununio alipokuwa anakaa pia alikuwa na tabia ya kuwafunga watu hao”,kule ununio pia alikuwa nao watu wa aina hii,sasa sijui ni rafiki zake au ni ndugu zake“.

Chanzo hicho kintaoa pia rekodi kuwa kipindi flani amma mzazi wa Wema laishawahi kuwatimua watu wa aina iyo nyumbani kwa mwane kwa kuhofia usalam awake na kuharibika kwa mtoto wke pia lakina hakuwahi kusikia.

kama unakumbuka kuna kipindi kabisa hata mama yake alishawahi kwenda  nyumbani kwa wema na akaenda kuwatimua watu hao sasa sijui wema anawapendea nini wau hawa.

Jitihada zilifanyika za kumtafuta wema lakini ilishindikana lakiniwaliamua kwenda mpaka Salasala kwa ajili ya kuongea na kiongozi wa mtaa anaoishi wema sepetu na kiongozi huyo alikubali kuzipoea taarifa hizo lakini wema tangu ahamie hajawahi kutambulishwa kwake.

Kwanza nisema hata simtambui Wema kwa sababu tangu amehamia hapa wala sijapata utambulisho wake,nimekuwa nikisikia hayo malalamiko kila siku na hata nilipoamua kumpelekea barua zaidi ya moja lakini haji na wala hajibu chochote.

Lakini pia kiongozi huyo anasema kuwa ni kweli taarifa za mashoga kwenye nyumba ya Wema sepetu yapo na wamepanga kumfata Wema nyumbani kwake na kuwaondoa hao mashago kama wapo la sivyo atahamishwa nyumba.

 

 

Wema Sepetu Kuwaburuza Nabii Tito na Mkewe Mahakamani

Muiguzaji maarufu wa Bongo movie mrembo Wema Sepetu amedhamiria kuwaburuza mahakamani Nabii Tito na mke wake kwa kile anachodai kuwa wawili hao wamemdhalilisha.

Nabii Tito au maarufu kama Nabii Feki alipata umaarufu mtandaoni mwanzoni mwa mwaka huu kutokana na dini yake na imani yake iliyowakwaza na kuwashangaza wengi.

Nabii Tito alidai anaongoza kanisa linalomtukuza Mungu lakini matendo aliyokuwa anafanya na wanawake wa hilo kanisa yalikuwa ya ajabu sana kwani alionekana wakinywa pombe na wanawake na pia alionekana wakibusiana na wanawake zaidi ya wawili.

Lakini pia alishangaza wengi pale alipomtambulisha mwanamke ambaye alidai ni mke wake lakini cha ajabu ni kwamba na mwanamke huyo alikuwa akishiriki katika matendo hayo machafu.

Siku chache zilizopita Nabii Tito na make wake walikaa na kujirekodi huku wakiongea na kumuomba muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu ajiunge nao sio kwa kwenda kusali bali ajiunge nao na akubali kuwa mke wa pili wa Nabi Tito na huku aliyekuwa anamuomba na kumsisitiza ni mke wa nabii Tito ambaye alimtaka Wema awe mke mwenzake.

Ambapo kwenye video hiyo mke wa Nabii Tito alisikika akisema maneno haya:

Wema Sepetu nakupenda sana hata nabii Tito anakupenda sana, kwanza ni mzuri Una shepu nzuri hata kwenye mambo ya Kiafrica unaongoza kwa uzuri”.

Baada ya video hiyo kusambaa Wema alifunguka na kusema ameiona hiyo video na kusema kweli wamemuudhi na amekasirishwa na kile wanachokifanya Nabii Tito na mke wake.

Kiukweli wameniudhi sana kwa kunidhalilisha nawasiliana na mwanasheria wangu ili nimbutuze mahakamani mwanamke huyo”.

Jeshi la polisi mkoani Dodoma mapema wiki hii lilimkamata Nabii huyo na kumfanyia mahojiano kutokana na mahubiri ya kidini anayofanya na limesema Nabii huyo ana matatizo ya akili baada ya dakatari kuthibitisha pia.

Nabii Wa Uongo Atangaza Ndoa Kwa Wema Sepetu.

Nabii mmoja wa uongo anaepatikana mjini Dodoma maeneo ya Makulu na baadhi ya matawi ya kanisa lake yakiwepo jijini Dar Es Salaam ametangaza nia ya kutaka kumuoa Wema Sepetu ili waweze kuungana kwa ajili ya kuendeleza na kusambaza huduma za kanisa lake.

Nabii huyo ambae amekuwa akionekana katika mitandao ya kijamii katika video fupifupi akiwa ameshikilia bia na kitabu cha dini aina ya biblia amesema  kuwa Wema ni msichana mzuri kwa umbo na sura  na angetamani sana angekuwa mkewe kwa ajili ya kukuza huduma za kanisa lakini pia kuwepo kwa Wema katika kanisa lake kutafanya watu wajae kwa sababu watakuwa wanakja kumshangaa msanii huyo..

Wema ni msichana mzuri sana kwa sura hata umbo, nataka nimuoe ili awe mke wangu na  na awe sehemu ya kanisa lanhu piana nina imani watu watakuw wakijaa sana kanisani kwa sabau ya kuja kumuona yeye na wake zangu hawana tatizo na hilo kabisa na hata mmoja amekuwa akinisaidia kumtafuta na kuniunganisha nae.

Nabii huyo anaejulikana kwa jina la Tito, amekuwa akionekana katika mitandoa huku akiwa amevaliaa gauni jeupe lenye kuchorwa alama za misalaba miwili , ana wake watano na watoto 12 na amekuwa akihimiza katika mafundisho yake watu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja.

Katika kanisa la mzee huyo watu wamekuwa wakiruhusiwa kununua pombe na kuingia nayo kanisani huku akiwa na madai kuwa walevi ndio watakao uona ufalme wa mbinguni.Nabii huyo anaesemekana kuwa ni nabii wa uongo amekuwa akifanya mambo mengi ya kifuksa akiwa mbele ya watu .

Nabii huyo amekuwa akitembea katika ma-bar mbalimbali kwa ajili ya kutafuta waumini ambao ni walevi na kuwapa bia kisha kuwatolea mahubiri.Hata hivyo baada ya kusambaa sana katika mitandao ya kjamii  Nabii huyo anatakiwa kukamatwa kwa kosa la kuzaririsha wanawake kwa kile anachokuwa akikifanya  .

 

Chuchu Hans Amkingia Kifua Wema Sepetu Kuhusu Mtoto

Msanii wa bongo movies Chuchu Hans na msanii mwenzie Ray Kigosi waliamua kuonyesha sura ya mtoto wao wa kiume ambae jana alitimiza mwaka mmoja na  ndio ilikuwa ni kwa mara ya kwanza mtoto huyo kuonekana katika mitandao ya kijamii tangu azaliwe.

Hata hivyo baada ya kuonyesha sura ya mtoto huyo wasani wengine walivutiwa na muonekanao wa mtoto huyo hivyo wengi walimpost mtoto huyo katika page zao za instagram na ndicho alichokifanya Wema Sepetu lakini hali ilikuwa tofauti katika page hiyo ya mwanadada huyo kutokana na  mashabiki wengi kuanza kumshambulia mwanadada Wema Sepetu  kuhusu tatizo lake la kutopata mtoto huku wengi wakimtuhumu na kumtukana kuwa chanzo cha  kukosa mtoto  ni yeye mwenyewe.

Chuchu Hans aliumiza na maneno yaliyokuwa yakimlenga Wema Sepetu hivyo alifunguka na kuwaomba mashabiki kumuacha Wema aishi kwa amani kwa sababu maumivu ya kutafuta mtoto na kukosa ni makubwa sana  hivyo wanavyokuwa wakiendelea kumtukana  na kumuandana wanakuwa wanamuumiza sana.

ninasikitika sana kuona watu wanaongea maneno kibao kwa wema tena inawezekana wengine hawajazaa bado na wengine wameshazaa,…naomba nitoe historia yangu kidogo.mimi jaden sio mtoto wangu wa kwanza lakini kabla sijampata jaden nilikuwa napata maumivu sana kwa sababu zilishaharibika mimba kama tatu na nilikuwa nasikia maumivu sana na ukumbuke kuwa hakuwa mtoto wangu wa kwanza….

Hata hivyo ChuchH hans amewataka watu wanaomshambulia Wema wakae na kufikia kama wao ndio wamngekuwa Wema ingekuwaje, anasema kuwa kabla hajazaa na Ray wengine walisema kuwa Ray hana kizazi na hawezi kuzalisha lakini leo wanamtoto tayari.

muwe mnavaa viatu vya mtu na wala mapungufu yake isiwe fimbo ya kumchapia.watu waliongea sana kuwa baba jaden hazai, na miungu watu waliongea sana lakini kwa Mungu kila kitu ni kidogo.

Kwa muda mrefu sana wema amekuwa akitafuta mtoto na hata kupata mimba  na zingine kutoka , lakini watu wamekuwa wakimsema vibaya  na kum-judge tofati bila kujua maumivu anayoyapata msanii huyo.

 

Wema Sepetu:Mohombi Ni Shemeji Yangu

Moja ya nyota wa kike katika tasnia ya filamu Tanzania, Wema Sepetu amefunguka na kueleza jinsi anavyokerwa na tabia za watu kuwa wanamzushia habari ambazo si za kweli tena hasa kwa sasa  hivi karibumi kuwa ametoka kimapenzi na msanii mkubwa Duniani ambae alikuwepo hapa nchi wiki iliyopita.

Msanii huyo anaejulikana kwa jina la Mohombi alikuwepo nchini Tanzania wiki iliyopita katika uzinduzi wa album ya msanii wa kike Vannesa Mdee ambapo kuna baadhi ya nyimbo wameimba wote.Hata hivyo katika watu waliopata kuwa karibu na msanii Mohombi na kupiga nae picha ni Madame Wema Sepetu ambapo baada ya picha hizo kuonekana katika mitandao ya kijaimi ilianza kusambaa kuwa msanii huo mkubwa Duniani ametoka kimapenzi na Tanzanian sweetheart Wema Sepetu.

                                                                   

 

Akikanusha taarifa hizo Wema anasema kuwa kitendo cha kupiga picha na Mohombi ni kawaida kwa sababu ni shemeji yake na ana uhusiano na mtu wake wa karibu na  ipo siku akiamua atamueka wazi mtu huyo.

hivi kwanini watu wanakuwa wepesi hvyo wa kuongea mambo,Mohombi ni shemeji yangu kama watu wanataka kumjua mpenzi wake ipo siku  watamjua hivi karibuni tu, kwani nimepanga kumuanika waache kuotea otea.Alisema Wema Sepetu alipokuwa akijibu mbaadhi ya maswali alipokuwa akiongea na Bongo mix.

Wema amekuwa ni moja ya mastaa wa kike wachache ambao wanakumbwa sana na tuhguma za kujiingiza katika mapenzi na wasanii wengi wakubwa na kutokudumu nao katika mahusiano na tetesi za wema kuwa na baadhi ya watu maarufu kutoka nje  wamekuwa wakimtumia kwa mara moja na kumuacha zimekuwa nyingi lakini hata hivyo yeye mwenyewe amekuwa akikana na kutafuta watu wanaomzushia taarifa hizo.

 

Wema Sepetu Aachwa Solemba na Wakili Wake Mahakamani

Muigizaji wa filamu Wema Sepetu amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuachwa solemba na wakili ambaye alikuwa naye bega kwa bega tangu mwanzo wa kesi yake ya kutumia madawa ya kulevya ianze kusikilizwa.

Aliyekuwa wakili wa Wema Sepetu, Peter Kibatala alikuwa akimwakilisha Wema katika kesi yake ya matumizi ya madawa ya kulevya iliyokuwa ikiunguruma katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu. Peter aliandika barua ya kujiondoa katika nafasi ya kumwakilisha Wema lakini baada ya hapo Wakili Albert Msando ameandika barua ya kuwa wakili mpya wa Wema Sepetu.

Peter Kibatala amezungumza na Bongo 5 mara baada ya kuandika barua hiyo ya kujitoa kuwa wakili wa Wema Sepetu:

Sisi tumejitoa kwenye hii kesi na tutaifahamisha mahakama kuwa hatutaweza kumwakilisha tena mshtakiwa Wema Isaack Sepetu kwenye kesi hii na Wema atawatambulisha mawakili wake wapya mahakamani siku kesi itakapoendelea kusikilizwa tumeishukuru mahakama kwa ushirikiano wake wote uliotupa katika kipindi chote cha kesi hii na tukaiambia mahakama kama kuna sehemu wakati tunendesha kesi hiyo basi tunajua mahakama itatusamehe maan hatujakamilika lakini siwezi kusema sababu ya kwa nini tumeacha kumwakilisha mshtakiwa maana maadili ya uwakili hayatakiwi kuzungumza mambo ya mteja hadharani”.

Baada ya Peter Kibatala kujitoa mara moja Peter Msando ameandika barua mahakamani ya kuipokea kesi hiyo na kuendelea pale palipoachwa na wakili wake wa zamani ambapo kesi yake itaendelea kusikilizwa mwezi februari.

Wema Sepetu Azidi Kumpa Sifa Rc Makonda

Malkia wa filamu za bongo  Wema Sepetu ameendelea kuonyesha hisia zake kwa  Mh.Makonda na kuwataka watu wa Dar  wajivunie kuwa na kiongozi  kama huyo ambae anajali watu wake.Mwanadada huyo ambae ameonekana kuwa karibu na kiongozi huyo siku za karibuni tangu ahamie CCM kutoka Chadema amesema kuwa wananchi wa Mar wanapaswa kuwa na shukrani kwa mungu   kwa kuwa na kiongozi kama Makonda.

Tanzania kwanza.katika vitu ambavyo watu wa Dar tunatakiwa kujivuia ni kuwa na Rc  mwenye akili nyingi Mungu akutangulie katika kazi zako  na lengo la kuijenga Tanzania yako  izidi kuwa nzuri kuliko ilivyo sasa.

Ipo siku wataelewa tu, the man himself….call him Mr Dar Es Salaam..viva Rc wangu …viva Rais wangu…#Uzalendokwanza @paulmakonda may  everything you  wish well for your Nation Be …We support you fully.

Ikumbukwe kuwa kipindi cha nyuma ambapo Wema Sepetu alikuwa katika chama cha Chadema alishawahi kukorofishana na Rc Makonda na kutoa baadhi  siri nyeti vilivyojificha kuhusu Rc huyo, na hiyo yote ilitokana na kukutwa na kesi ya kujibu baada ya kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake na kuingizwa katika list ya wasanii wanaotumia madawa ya kulevya.

Wema Sepetu Kufunga Kizazi Akifika Miaka 30

Swala la kuwa na mtoto ni jambo jema na kila mtu amekuwa na hamu ya kuwa na mtoto, Wema Sepetu ni moja ya wasanii maarufu ambao wamekuwa wakiangaika na kutamani  kupata mtoto kwa muda mrefu, ni mengi yamesema juu yake lakini amekuwa hakati tamaa kwa hilo.Ingawa hayupo katika ndoa lakini amekuwa akiomba kila siku kupata mtoto kama ilivyo kwa wasanii na marafiki zake wengine.

Alishawahi kutoa kiapo kuwamba endapo atafikisha miaka 30 , mwenyezi Mungu hajampatia mtoto basi hana budi kufunga kizazi,  mashabiki wengi wamekuwa wakisema kuwa inawezekana yakawa ni maneno ya kukataa tamaa hasa baada ya kuomba kwa muda mrefu kupata mtoto na akashindwa kupata.

Wema Sepetu amethibitisha na kuirudia kauli yake hiyo na kusema kuwa kiapo chake cha kufunga kizazi baada ya kutimiza miaka 30 kipo pale pale wala hajabadilisha mawazo yake.

Mwaka ndo hivyo unaisha,lakini ahadi yangu iko palepale, kama kweli sitanasa ujauzito mpaka nafikisha miaka 3o kamili  lazima nifanye nilivyohaidi  na ntakwenda kuasili mtoto. -Alisema Wema Sepetu

Wema Sepetu amefikisha miaka 29 mwaka huu October, hivyo mwaka unaofuata atakuwa na miaka 30.

 

Harmorapa Kumuendea Wema Sepetu Kwa Mganga Mara Tatu

Msanii ambae alijitambulisha katika tasnia ya bongo fleva kwa kiki nyingi sana lakini sasa kwa maneno ya chini chini ni kwamba msanii huyo amefulia na inawezekana kabisa akarudi kijijini kwao kutokana na kutemwa na menejementi yake, Harmorapa amefunguka na kusema ukweli kuwa kwa muda amekuwa akimtamani Wema Sepetu na mpaka ameshafikia hatua ya kumuendea kwa waganga wa kienyeji ili aweze kumpata lakini imeshindikana kabisa.

Harmorapa amesema kuwa amekuwa akiangaika sana kwa rafiki zake na Wema ili kumpata Wema lakini ilishindikana hivyo aliamua kwenda kwa sangoma na  kumfanyia dawa msanii huyo lakini cha ajabu ni kwamba mganga alimuagiza kuku mweupe  na akaleta lakini aliporudi mjini kuangalia mafanikio alikuta bado mambo si shwari kabisa.

Nilimuendea Wema kwa mganga mara ya kwanza mganga akaniambia nipeleke kuku mweupe nikapeleka lakini niliporudi Dar mambo hayakuwa sawa kwaiyo nikamuendea tena mabpo aliniagiza nipeleke vitu vingine tofauti mara mbili ambavyo hapa siwezi kuvitaja lakini naona b.ado

Harmorapa anasema kuwa amekuwa akipata wakati mgumu sana kuonana na msichana huyo kwa sababu kuna kipindi ameshaambiwa apeleke  hadi mchanga wa unyayo wa Wema Sepetu na mchanga wa alipotemea mate lakini imekuwa ikishindikana kwa sababu hapati nafasi ya kuwa karibu na Wema Sepetu.

Hata hivyo Harmorapa anasema kuwa kwa sasa ameamua kumuachia mungu swala la mahusiano yake na wema sepetu kwa sababu huko alikojaribu alishaangaika na ameshashindwa, kama bahati yake ipo basi atampta msichana huyo.Harmorapa ameshawahi kusema si zaidi ya mara  kuwa amekuwa akimtaka kimapenzi mwanadada Wema Sepetu .

Hatimaye Wema Na Jokate Kufanya Kazi Ndani Ya Wizara Moja.

Yawezekana walishawahi kukutana mahali lakini wakawa sio kama watakavyokuwa sasa hivi , ni mategemeo ya wengi kuwa baada ya wawili hao kuweka sehemu moja kwa ajili ya kufanya kazi basi watakuwa marafiki na watu wa karibu kuliko hapo awali.

Wema Sepetu   na Jokae wameteuliwa kuwa wajumbe kwa mwaka huu katika wizara ya maliasili ili wawezi kuwa  mabalozi katika swala la utunzaji wa mali ya asili ikiwa ni mwezi wa maadhimisho ya Urithi wa maliasili Tanzania.

Mapema jana waziri wa maliasili Mh. Kigwangala aliteua mabalozi nane watakao kuwepo katika kamati ya  maalumu ya taifa itakayohusika na  maandalizi ya maadhimisho ya utunzaji wa maliasili tanzania ambapo Wema Sepetu  na Jokate Mwegelo watakuwepo kaatika kamati hiyo.

Tumeongeza majina ya wajumbe wa kamati ya utunzaji wa urithi tanzania, ilikupata wawakilishi wa watu wa zanzibar na viajana pia, kamati hiyo itahusika na  kuweka sawa wazo hili nakuweka swa mambo yote.- .Alisema waziri mwenye dhamana hiyo

Haijawai kusemwa hadharani kama wawili hao walishawai kuwa maadui lakini mashabiki wanapata tumaini kubwa kuwa wawili hao watakapofanya kazi pamoja basi kila kitu kitakuwa sawa tena hasa ukizingatia wawili hao wamekuwa ni watu wenye nafasi kubwa sana katika jamii hasa katika maswala ya uhamasishaji.

Steve Nyerere Athibitisha Kupatana Kwa Wema Na Mh.Makonda

Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kuzagae kwa picha zikionyesha msanii wema sepetu na Mh.Paul Makonda  wakiwa pamoja na kwamba wamemaliza tofauti walizokuwa nazo baada ya wema kuamiha chadema na baadae kurudi tena CCM, Steve Nyerere ambae inasemekana kuwa ndiye alifanikisha zoezi la Wema Sepetu kurudi CCM  amefunguka na kuongelea swala la Paul Makonda kumsamehe Wema Sepetu.

Akiongea kwa njia ya simu na GPL, Steve Nyerere ambao alisema kuwa kwa wakati huo alikuwa akitokea Dodoma kuelekea Dar alisema kuwa ni kweli tofauti za wawili hao zieisha na kila kitu kiko sawa sasa hivi wamejikita zaidi katika kujenga taifa na sio kufanya upinzani.

Hakuna uadui wa kudumu katika haya maisha ,isitoshe  wale wote ni vijana wamekutana na kuombana msamaha na mambo yamebaki kuwa historia tu.wanaangalia maisha  mengine ya mbele  kwa sababu safari ni ndefu .Alisema Steve.

Steve anasema kuwa hata kama kulikuwa na tofauti kubwa kati ya wawili hao zilishaisha na ugomvi ule umebaki kuwa historia kwa sababu watu hao wameamua kukubaliana na kuwa kitu kimoja hakuna kilichobaki cha kutenganisha tena.

hili ni funzo kubwa sana hasa kwa wasanii kwamba watu wakogombana wasiongee mambo yote wakamaliza , kuna wasanii watu wakigombana wanaanza kuogea maneno ya  ovyo ovyo  kwa mkuu wa mkoa kupitia kwa wema  sasa leo hao wamepata haya wao sura zao wanazipeleka wapi.-Alifunguka Steve

Hata hivyo kulikuwa na tetesi kuwa mama mzazi wa Wema haonekani nyumbani kwake Sinza Mori na kuwa inawezekana mama  huyo amefichwa sehemu, Steve Nyerere amekanusha habari hizo na kusema kuwa mama huyo yupo nyumbani kwake hakuna alipofichwa kokote.

Nani amekwambia mama hayupo,mama yupo pale pale  na mambo yanaendelea vizuri wala watu hawana haja ya kumtafuta popote-Alimalizia Steve Nyerere

Baada Ya Kurudi CCM Wema Amaliza Bifu Lake na RC. Paul Makonda

Muigizaji maarufu wa Bongo movie Wema Sepetu amezidi kuzua gumzo mtandaoni baada ya wikiendi hiikurusha picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa na mkuu wa mkoa wa Dar-es-Salaam, Paul Makonda.

Mwezi februari mwaka huu Wema pamoja na wasanii wenzake mbali mbali Kama Rachel Kizunguzungu, T.I.D, Rommy Jones, Petit Man Wakuache na wengineo walikamatwa na kuwekwa ndani wakituhumiwa kwa kujihusisha na matumizi na kuuza madawa ya kulevya.

Wengi wa wasanii hao waliachiwa wakaenda huru lakini Wema alifunguliwa kesi mahakamani baada ya polisi kuthibitisha kuwa walienda kupiga sachi nyumba yake na kumkuta na mihadarati kama misokoto ya bangi, kutokana na kesi hiyo Wema alihama CCM na kuhamia Chadema. Baada ya kesi hiyo Wema alianzisha bifu zito na Mkuu wa mkoa Paul Makonda.

Watu wengi waliamini kitendo cha Wema Sepetu kutajwa na RC Makonda kwenye orodha ya wasanii wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya kulimaliza urafiki waliokuwa nao.

Jana kupitia ukurasa wake Istagram Wema aliwashangaza watu wengi baada ya kurusha picha akiwa amepiga pozi na RC. Makonda aliyo aliambatanisha na maneno haya:

With Le brother….Me Commander….The man himself I call him Mr. Dar es Salaam tupo all smile happy Sunday to  you all kila lenye mwanzo lazima liwe na mwisho”.

Kwa njia hiyo Wema ameamua kuwaonyesha mashabiki zake kuwa hayo yote yameisha na kwa sasa amerudi CCM na amerudisha urafiki na  Makonda kama ilivyokuwa zamani.

Wema Kurudi CCM Wazee Walishaongea, Aliondoka Kwa Hasira Tu- Steve Nyerere

Muigizaji wa Bongo movie na mwanasiasa Steve Nyerere amezidi kufunguka tena kuhusiana na kitendo cha Wema Sepetu kurudi tena CCM baada ya kuhama Chadema na kudai kuwa Wema karudi CCM kwa sababu wazee walishaongea ili iwe hivyo.

Wikiend iliyopita muigizaji Wema Sepetu aliwashtua watu wengi baada ya kutangaza kuwa ana rudi rasmi katika chama chake cha siasaCCM huku akikiita ndio nyumba kwake. Jambo hilo liliwashtua watu wengi kwa sababu February 24 mwaka 2017 Wema alitangaza rasmi kuwa yeye na Mama yake mzazi wanahamia Chadema rasmi kutokana na kile walichodai ni mgongano wa itikadi kwaiyo December mosi mwaka huu alivyotangaza kuwa anarudi CCM alizidi kuwashangaza watu wengi.

Kwenye mahojiano aliyofanya na Millard Ayo Steve Nyerere amefunguka na kudai kuwa Wema kurudi CCM ni kitendo ambacho wazee walishakiongelea:

Hakuna asiyejua kuwa Wema alizunguka nchi nzima katika harakati za kumtafutia kura Raisi wetu na yeye kwa njia moja au nyingine ndiye amesababisha tulishinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu, Wema aliondoka CCM kwa hasira tu lakini ameona maisha magumu ameamua kurudi nyumbani basi tumpokee na tumkanye ili asirudie tena na hapa lazima tumpongeze Wema kwa kurudi nyumbani lakini tangu alipohama CCM kuna wazee waliyazungumza na walizungumza naye ila sisi wengine ni vichochezi tu”.

Kwenye mahojiano aliyofanya siku za karibuni Wema amekiri kuwa kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana na kinachomsaidia ni maombi kwa Mungu lakini hajajutia uamuzi wake wa kurudi CCM.

Wema Afungukia Kurudi CCM, Asema Mambo ni Magumu

Ikiwa ni kama wiki imepita tangu msanii Wema Sepetu kurudi CCM akitokea CHADEMA  na kukaa kimya kwa muda , mwanadada huyo ameamua kufunguka na kusema yale anayoyaona na kuyafikiria baada ya kufanya uamuzi huo.Pamoja na kwamba ameamua kusema kile anachokutana nacho lakini msanii huyo anasema kuwa hawezi kuzungumza sana mambo hayo kwa sababu bado anaweka vitu sawa lakini kuna mambo mengi yanayomfanya akate tamaa kwa sasa.

Its too copmlicated najikuta sipo kwenye position ya kuelezea in simple english au kiswahili  siwezi ila tubaki tu tunamuomba Mwenyezi Mungu  kwamba everything will be fine one day, Inshallah.

I am strong, kama nisinge kuwa strong wala sasa hivi nisingekuwa hapa kweli,najaribu kusali kwa hii hali muda mwingi kama binadamu inaweza kukuvunja moyo na kukufanya ukate tamaa.Yaaan its ok ngoja nimuachie Mungu

Wema sepetu alikuwa CCM kwa mara ya kwanza na baadae alikuja akahamia CHADEMA na mama yake mzazi ambapo amekaa kwa muda kama miezi sita na kuamua kurudi tena CCM ambapo yeye anakuhita nyumbani na kwamba kule alipokuwa hakuwa na amani, ingawa mama yake amekanusha na kukataa kurudi CCM.

Akiwa kama msanii Wema anaejulikana na kupendwa na watu , baada ya kujiingiza katika wimbi hilo la siasa amejikuta akisemwa sana katika mitandoa na baadhi ya mashabiki ambao wanaamini ku wa kitendo cha yeye kuhama hama kisiasa pia kuna haribu na kupoteza umakini wake katika kazi zake na kuwafanya mashabiki zake pia kutokuwa na muelekeo mzuri, hata hivyo Wema amekuwa akikukutana na changamoto nyingi zinazomfanya mpaka kukata tamaa.

kwa siku za karibuni wema sepetu amekuwa akionekana ni mtu wa kukata tamaa na kufikia hatua ya kutamani kufa kutokana na yale anayokutana nayo yanayofanya maisha yake yanakuwa magumu na kushindwa kuishi kwa amani.

Hata hivyo ugumu wa maisha ya siasa kwa wema unakua pale baada ya kutangaza kurudi , vyama vyote vilionekana kupuuzia matamko yake huku baadhi ya viongozi wa Chadema wakisema kuwa alipoamia kule hakuwa mwanachama halisi bali akuwa mfuasi tu kama watu wengine huku CCM wakimwambia kuwa inabidi aanze upya kuomba uanachama sio kuhama na kurudi pale anapojisikia,

 

 

Steve Nyerere Amefunguka Kuhusu Tuhuma Za Wema Kuhamia CCM Kisa Kuogopa Kuvunjiwa Nyumba

Muigizaji na mwanasiasa Steven Nyerere amefunguka kuhusiana na tuhuma zinazomkabili rafiki yake Wema Sepetu kuhusu tuhuma za kuhamia CCM Kisa kuogopa kuvunjiwa nyumba.

Mapema wiki hii Wema alitangaza kuwa anahama Chadema chama alichohamia miezi michache iliyopita baada ya kuhama CCM. Baada ya kukaa Chadema kwa miezi michache Wema alitangaza kuwa ameamua kurudi nyumbani CCM jambo ambalo lilizua mijadala mingi kupita kiasi kwani kuna mengi yalisemwa.

Moja Kati ya jambo lililozua gumzo ni kuwa inaemekana kuwa Wema alikubali kirudi CCM kwasababu serikali imetishia kuvunja nyumba yao ya familia lakini pia inasemekana kuwa amehaidiwa kuwa kesi yake inayoendelea kuunguruma mahakamani kufutwa na kama angekataa kurudi CCM basi alitishiwa kwenda jela.

Rafiki wa karibu wa Wema na mwenzake kwenye mambo ya siasa Steven Nyerere amefunguka kuhusu tuhuma hizo za kuvunjiwa nyumba alipofanya mahojiano na Millard Ayo Tv:

Habari hizo sio za kweli na ukitaka kujua kuwa habari hizo sio za kweli utaona kuwa Wema bado ana kesi yake mahakamani hayo ni maneno tu ya mjini ambayo watu wanayaongea ambayo hawakatazwi kuyaongea kwani Watanzania sahivi wanacheza na mitandao wanapoteza muda mwingi na kubuni habari zitakazoleta uchochezi ambao hauna tija kwanza ile nyumba ipo miaka nenda miaka rudi leo hiiiwe hivyo kwa sababu gani mbona kuna watu wamefanya makubwa zaidi ya Wema na hawajavunjiwa Nyumbani zao huyo Wema avunjiwe kwa kubwa lipi alilokosa kwaiyo utaona habari hizi ni za uongi na uchochezi  Wema amerudi mwenyewe CCM ameona jua linavyowaka ameamua kurudi nyumbani ili ajipange”.

 

Wema Sepetu Arudisha Mahaba Kwa Mpenzi Wake Wa Zamani Luis Munana

Muigizaji wa Bongo movie maarufu kabisa Wema Sepetu amwrudisha majeshi yake upya kabisa kwa aliyekuwa mpenzi wake miaka michache iliyopita Luis Munana.

Siku ya Jana Wema amerudi tena kwenye headlines baada ya kukaa hapo tangu wiki iliyopita alipo weka wazi nia yake ya dhati ya kurudi CCM. Baada ya kutangaza kuwa ana mpango wa kuondoka chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema na kurudi CCM mashabiki wake walimjia jui kwa kile walichodai kuwa hana msimamo kwani tangu mwaka huu umeanza amehama vyama viwili lakini pia inasemekana kuwa Wema alihama Chadema kwa kuhahidiwa Kuwait kesi yake inayoendelea kumkabili kwa hivi sasa ya kutumia madawa ya kulevya basi ingefutwa.

Siku ya jana Wema aliweka picha ya zamani aliyopiga na Luis kipindi ni wapenzi na kuambatanisha na maneno yafuatayo:

If missing someone is a crime then i want to be haunted.. Have a blessed Tuesday, one of my favourite picture y’all. I dont allow opinion …..Thank you very much”.

Wema aliandika maneno hayo akimaanisha kuwa Kama mapenzi ni kosa basi yuko tayari kusakwa kwa kosa hilo, lakini pia alikataa maoni ya watu juu ya maneno hayo. Luis naye ili kuthibitisha kuwa yuko pamoja na Wema aliweka picha zilizomuonyesha yeye na Wema wakiwa katika mahaba mazito:

 

Wema na Luis walikuwa na uhusiano miaka michache iliyopita baada ya Luis kuja Tanzania kumtembelea Idris. Lakini baada ya Luis kurudi kwao Namibia Wema alimuacha na kuanzisha mahusisno na Idris Sultan.