Wasanii kenya Walalamika Diamond Kulipwa Zaidi Yao.
Wasanii wa nchi Kenya wamefunguka na kutoa malalamiko yao katika media kuwa makampuni mengi nchini Kenya yamekuwa yakimlipa Diamond ela nyingi zaidi ya wasanii wazawa katika matamasha mbalimbali ambayo msanii huyo amekuwa akifanya nchini humo.
Maneno hayo yanakuja baada ya msanii Diamond hivi karibuni kufanya uzinduzi wa album yake nchini humu na kujaza watu wengi sana katika show yake na hata kupewa zawadi ya kiwanja katika nchi hiyo huku ikisememkana kuwa kitendo hicho ni nadra sana kutokea kwa wasanii kupewa vitu adimu kama hiyo.
Mtandao mmoja ulitoa ripoti hiyo na kusema kuwa wasanii hao wamekuwa wakilalamika kuhusu kulipwa zaidi kwa msanii huyo kuliko wao.
Moja ya mitandao iliyotoa ripoti ya malalamiko hayo

