Watanzania Waungana na Nchini Zingine Katika Onyesho la Coke Studio AfrIka

Wasanii mbalimbali ukutana katika onyesho hili huku lengo kubwa ni kuangalia jinsi ya kuweza kuweka vionjo katika nyimbo na kufanya kazi kwa pamoja,onyesho hili huwa na mafunaa sana kwa sababu wasanii wadogo hukutana na wale wakubwa na hata wa kidunia kupata ujuzi mpya katika muziki.

Pia huleta faraja kwa sababu jamsa mpya uzaliwa na kuleta kwa mashabiki, lakini yote mazuri wasanii hupata nafasi ya kukutana na watu ambao baada ya hapo huwezi kupanga na kufanya kazi pamoja, hivyuo huleta undugu wa wasanii wa kiafrika.

download latest music    

Wenda inaweza kuanza kuonekana kwa baadhi ya wasanii wakiweka picha zao na juu ya location zao wakisema wapo COKE STUDIO AFRIKA, ni kweli kabisa kuwa wasanii wa Tanzania pia wameungana katika onyesho hilo kubwa afrika,

Baadhi ya wasanii kutoka Tanzania ni kama Nandy, Mimi Mars, Jux, Harmonize.

kuna wasanii kutoka kenya kama Khaligraph Jones.

Na pia kutoka uganda kama mwanadada Shebbah.

lakini pia inaendelea kunogeshwa na watayarishaji kama Skales na Rude Boy kutoka Nigeria

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.