Msanii wa Bongo Fleva Ateuliwa Mjumbe Kamati Kuu CCM

Msanii wa bongo fleva khadija shabani taya, maarufu kama keisha ameteuliwa kuwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM (NEC)  siku ya mei 28 mwaka huu.Taarifa hizo zimetolewa na katibu mwenezi wa chama hicho bwana hamfrey polepole siku hiyo baada ya kutoka katika kikao cha kamati kuu ambapo ndipo uteuzi huo ulipofanyika.

Keisha ambae ni msanii wa siku nyingi aliingia katika siasa na kugombea ubunge UVCCM mkoani Dodoma na kushinda katika kura za maoni lakini alishindwa kuendelea  mbele katika uchaguzi mwaka huo.

Hongera kwake kutokana na jitihada nyingi alizowahi kuzionyesha katika siasa na nia yake kubwa ya kuthubutu.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.