Rapper Fid Q forced to eat humble pie and apologize to Diamond Platnumz

Tanzanian rapper Fredrick Kubanda, popularly known as Fid Q, recently landed in trouble with WCB Wasafi’s management after mocking their upcoming Wasafi festival.

Fid Q had to post an apology after a promo he shot with Clouds Media Group to promote Tigo Fiesta that ended up angering Diamond’s party.

Copycats

In the promo, Q accuses Diamond and Wasafi of copying Clouds media after Wasafi announced their Festival. He apologized saying the promo came out bad and he’s not after promoting any enmity between the two.

Here is is statement:

@babutale @Diamondplatnumz: Yote na yote.. Kiukweli yale maneno ya kwenye promo ya “MOJA KUBWA” sikutegemea kama yangekua na uzito huu uliopelekea ndugu yangu uchafukwe kiasi cha kunifungulia bomba la matusi humu insta.. kwanza sikumbuki hata kama niliyatamka kwa nia ya kuleta msigishano huu.. Lakini kama kweli nimewakwaza… Naomba mnisamehe kibinadamu kwa hilo ,naomba tumuache SHETANI apite na mwisho naomba nimalize kwa kusema.. BURUDANI sio VITA <hivyo ninawatakia kila la heri/ MAFANIKIO ya hali ya juu ktk MAPINDUZI YA BURUDANI huko MTWARA.. KEKI YA TAIFA NI KUBWA SANA NA INA VIPANDE VINGI VINAVYOTOSHA KUMFIKIA KILA ANAYESTAHIKI KWA KUDRA ZAKE MUWEZA WA VYOTE…. MAULID NJEMA” wrote Fid Q.

Fid Q amshirikisha Diamond Platnumz na Rayvanny kwenye mix ya ‘Fresh’ na mashabiki wadai wamemchana Hamisa Mobetto

Fid Q ambaye ni msanii wa muziki wa hip hip Bongo sasa hivi ameachia remix wa wimbo Fresh ambapo ameliwashirikisha Diamond na Rayvanny.

Katika wimbo huu Diamond Platnumz anasikika akirap na kulingana na mashabiki, mwanamuziki huyu anawachambua Kiba na Hamisa Mobetto kwenye maneno aliyotumia.

Rayvanny naye alipewa nafasi ya kuimba chorus na kama kawaida, msanii huyu aliweza kuipa nyimbo hii fleva.

Isikize nyimbo hii hapa;

 

 

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.