Wema Sepetu opens up about her relationship with mheshimiwa she allegedly had an affair with

Wema Sepetu has long been rumored to have an affair with Freeman Mbowe – the chairman of Tanzanian opposition party CHADEMA.

The rumor gained momentum when Wema accompanied Freeman to court for the hearing of his case, the two sat next to each other and appeared to be flirting during the hearing.

Wema Sepetu and Freeman Mbowe in court

A leaked VoiceNote of a conversation alleged to be that of Wema Sepetu and Freeman Mbowe further made the rumor appear to hold water.

https://youtu.be/vDQ3w2_KmJ8

Wema Sepetu has now opened up about her relationship with mheshimiwa in an interview with EATV. The former beauty queen dismissed the claims she was having an affair with Freeman saying that she respects the politician so much that she’s even afraid of him.

“I was shocked, sijui chochote kuhusu hicho kitu. Mimi mwenyewe sijui kilipoanzia na kwanza ninavyomuheshimu yule baba mpaka namuogopa sasa hili lilipotokea i was like hizi ni figisu. Ingawa sijakutana na Mbowe toka jambo hili kutokea kwa sababu yupo busy lakini viongozi wengine wa CHADEMA walinielewesha ni kwa nini watu wanafanya hivyo. Unajua hizi ni siasa. Huku ni upinzani na wengine ndiyo wapo madarakani so mambo kama haya ya kisiasa yanatokea ingawa huyo aliyetengeneza sauti kufanana na ya kwaangu yupo vizuri sana,” Wema Sepetu explained.

 

 

Mchekeshaji Steve Nyerere awekwa motoni kutokana na sakata ya kimapenzi ya Wema Sepetu na Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Freeman Mbowe ambaye pia ni mbunge wa Hai na Wema Sepetu wamekua wakitawala vichwa vya habari tangu sauti (voice note) ambazo zinadaiwa kuwa zao kuenea kwenye mitendao ya kijamii.

Voice note hio inaashiria kuwa Freeman na Wema Sepetu wana uhusiano wa kimapenzi lakini wawili hao walikana dhana hii.

Mchekeshaji Steve Nyerere amejipata pabaya kuhusu sakata ya Wema Sepetu na Freeman Mbowe. Mashabiki wa Wema na Freeman wanadai kuwa sauti ya kiume iliyoskika kwenye voice note hio ya utata ni ya Steve Nyerere.

Steve Nyerere na Wema Sepetu

Nyerere ako na kipaji cha kuigiza sauti mbalimbali za viongozi wa kisiasa na watu wengine mashuhuri; na  hii ndo sababu ya watu kumlimbikizia lawama.

“Sio mimi yule na siwezi kufanya kitu kama kile. Ile sauti ukiisikiliza kwa makini utajua sio mimi na siwezi kufanya hivyo,” Steve Nyerere alijitetea kwenye mahojiano na Bongo 5.

 

 

Ukweli wadhihirika kuhusu uhusiano wa Wema Sepetu na Freeman Mbowe

Siku chache zilizopita voice note ambayo inadaiwa kuwa sauti ya Wema Sepetu and mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelao CHADEMA ilisambaa kwenye mtendao wa kijamii.

Wema Sepetu na Freeman Mbowe

 

Mazungumzo kwenye voice note hio unadhihirisha kuwa Freeman Mbowe na Wema Sepetu wako na uhusiano wa kimapenzi.

Mbowe hata hivyo amefunguka na kueleza ukweli wa maneno kufwatia kuibuka kwa voice note hio; mwenyekiti huyo wa CHADEMA alikana kuwa sauti iliyoskika kwenye voice note hio ni yake.

https://www.youtube.com/watch?v=0iZg-JoIRgc

Alisema kuwa hana uhusiano wowote wa kimapenzi na Wema Sepetu. Mbowe alieleza kuwa maadui wake wanamchafulia jina kwasababu Wema Sepetu alijiunga na CHADEMA.

Skiliza maelezo ya Mbowe kwenye video hapo chini:

https://www.youtube.com/watch?v=Vfxtv8s08io

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.