Harmonize adaiwa kuchepua na Mdada wa Kimasai

Msanii Harmonize anadaiwa kuchepuka na mwanadada kutok nchini  Kenya huku bado akiendelea kuwa na mahusiano na  mchumba wake wa siku nyingi mwanadada Sarah.

Katika mitandao ya kijamii kumekuwa na baadhi ya screenshot za meseji zikiwaonyesha sarah wa harmonize  na huyo mwaname mwingine ambae anaripotiwa kuwa ndio mchepuko mpya wa harmonize wakiwa  wanagombana .

Hata hivyo, kuna picha zimekuwa zikisambaa ambapo msanii Harmonize mwenyewe aliweka katika ukurasa wae wa snapcaht akiwa chumbani  huku akiandika Caption ya jina la mwanadada huyo.

Sarah anaonekana kujua swala hio lakini kutokana na mapenziyae kwaharmonize anashindwa kufanya maamuzi.

Harmonize Azungumzia Swala la Kuachana na Sarah.

Kuna tetesi za muda zimekuwa zikisamba kuwa msanii harmonize  na mpezni wake Sarah  wamegomba na kwamba mapenzi yao yamefikia mwisho.harmnize amekanushatetesi hizo na kusema kuwa hakuna ukweli owowte kuhusu hilo na kwamba mpenzi wake hayupo nchini.

Akiongea na Wasafi tv, Harmonize anasema kuwa sarah yuko Italy kwa sasa amekwenda nyumbani kwao hibyo hakuna ukweli kuwa wameachana na swala la wao kuwa pamoha halitawezekana kutokana na hilo.

Sarah kwa sasa amesafiri yuko zake italy na ndio maana unaona kuwa siku hizi hatuko pamoja.

Harmonize na sarah wamekuwa na mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya mwaka kwa sasa na hata walipokuwa hawaonekiani pamoja wawili hao walihisiwa kuwa wameachana.

 

He is Bodyguard of My Husband, He is Like My Uncle:-Sarah

Mwanadada anaetoka kimapenzi na msanii Harmonize amefunguka alipokuwa akifanya mahojiano na dizzim online na kusema kuwa hana mahusiano na Mwarabu Fighter kama vile ambavyo imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii kwa sababu yeye anamheshimu sana kama uncle wake.

sarha mabe anasema kuwa hajui chochote kuhusu chanzo cha maneno hayo yalipoanzia, hawezi kuongea kitu kwa sababu hata yeye alishangaa kuona kitu kama hicho kinasemwa katika mitandao ya kijamii.

nothing going on between me nd mwarabu fighter, he is just a body guard of my  husband, he is like my uncle , i respect him for the job and i never real marry  and stay with him, no.

Wikiendi iliyopita mwanaharakati mange kimambi aliandika katika ukurasa wake wa instagram kuwa kuna mahusiano ya kimapenzi yanayoendelea kati ya Sarah na Mwarabu fighter na ndipo harmonize alipo-repost na kusema kuwa ni bora angetembea na mbosso angeweza kumuuliza lakini sio Mwarabu Fighter.

Mzungu wa Harmonize Ajibu Tuhuma za Kutembea na Bodyguard

Wikiendi iliyopita lkulizuka kwa drama katika mtandao wa instagram kuhusu tuhuma za Harmonize kusema kuwa ni bora kama kweli taarifa alizozipata kuwa zisiwe za kweli kuwa  mpenzi wake sarah amekuwa akitoka kimapenzi na mlinzi wake anaejulikana kama Mwarabu Fighter.

Harmonize alisema hayo kwa chuki huku akisema kuwa hatopenda kusikia mpenz wake akitoka kimapenzi na mtu huyo ni bora angekuwa akitoka kimapenzi na mwanaume mwingine, baada ya kuongea hivyo mengi yalisemwa katika mitandao na ndipo sarah aliamua kumjibu kwa kuandika maneno haya:

i smile for the novel of instagram haaa haa realy,i m sorry for you but am not that kind of woman and as long as am taying with my man harmonize  there will be no other people  in my life and i love him more than i can imagine.

so if you want these kiki novels,go look for them in other pages,oh i forget for all people who talk badly  dont worry that i will come back and look for you.

Hata hivyo taarifa hizo za mwanadada sarah kutoka kimapenzi na mwarabu ziliibuliwa katika mitandao ya kijamii na mwanaharakati wa kimitandao Mange Kimambi , ambae mara nyingi amekuwa akisema mambo mengi yanayotendeka katika jamii.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.