Uwoya Athibitisha Mapenzi kwa Alikiba

Mwanadada irene uwoya amefunguka na kusema kuwa pamoja na kwamba hakuwahi kuwa karibu na msanii alikiba lakini mara zote amekuwa akitamani sana kuwa karibu na msanii huyo kwa sababu ndio msanii anaemkublai tanzania.

Irene ambae alionekana katika funga mwaka na king kiba anasema kuwa mara zote amekuwa akipenda sana nyimbo za alikiba na jinsi anavyo-perfom jukwaani  na ndio maana ameshindwa kuacha kwenda katika party hiyo.

Mwanadada huyo alisema “Alikiba ni mtu ninae mkublai sana, ninampenda na ia nina enda nyimbo zake na ndio maana leo niko hapa

Irene anasema pia kuna kuwa pub yake ambayo ilitakiwa kufunguyliwa decemba 23 ilishindika kwa sababu kuna baadhi ya mambo hayakuwa yamekamilika.

 

 

Alichoandika Irene Uwoya Katika Siku Yake ya Kuzaliwa

Mwanadada Irene Uwoya siku ya leo ametimiza miaka 30, ambapo pamoja na yote na hata kuamua kuweka miaka yake hadharani lakini wapo ambao hawakuamini swala la yeye kuamua kuweka umri wake wakisema kuwa sio kweli kuhusu namba hiyo.

Hata hivyo Irene amewashukuru wote walichangia mafanikio katika maisha yake bila kuwasahau maadui zake pia.

katika ukurasa wake aliandika “Asante MUNGU kwakila kitu kwenye maisha yangu…sina chakusema zaidi ,sifa na utukufu narudisha kwako!!!asante baba na mama kwa kunilea…Asante Krish wangu kwa kunipa nguvu kila siku ya kujituma !!!asanteni watu wangu mlionyuma yangu…Asanteni mashabiki zangu kwa kunifanya kuwa Irene…sina chakuwalipa nawapenda sanaaa…pia Asanteni maadui zangu sababu nyinyi pia mnanipa nguvu ya kuendelea mbele na MUNGU awabariki sanaaa chuki zenu ziendelee kuwa baraka kwangu!!!HAPPY BIRTHDAY LOLO(happy birthday to me) “

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.