Mh Kikwete Ashtushwa na Habari za Kifo cha Godzilla

Moja ya viongozi waliowahi kuwa karibu sana na wasanii kipindi cha uongozi wake mh jakaya kikwete , amesema kuwa amepokea kwa mshtuko sana taarifa ya kifo cha mwanamuziki Godzilla kwa sababu alikuwa moja ya vijana wadogo  mwenye ndoto kubwa maishani.

mh kikwete aliongea maneno hayo huku akiambatanisha na picha yake aliyowahi kuipiga akiwa na msanii huyo miaka ya nyuma.

“He warned me about many things” Diamond reveals finer details of his meeting with ex President Jakaya Kikwete

Former Tanzanian president Jakaya Kikwete summoned Diamond Platnumz to his Dar es Salaam residence weeks after Basata banned his song ‘Mwanza’.

Diamond has since revealed what he discussed with Kikwete during an exclusive interview with Ijumaa newspaper. He says that the former president only advised him on a range of issues.

Diamond with former Tanzanian president Jakaya Kikwete
Diamond with former Tanzanian president Jakaya Kikwete

The Bongo singer reveals that Kikwete encouraged him to marry. Diamond already has plans to exchange vows with Tanasha on February 14th.

“Baadaye, nilikwenda nyumbani kwake jijini Dar. Pamoja na mambo mengine, nikiwa pale, kitu cha kwanza kabisa alinishauri nioe kwani umri unaruhusu. Aliniambia ni muda muafaka kuoa na kutulia,” said Diamond

Flamboyance

Diamond also said that the former President warned him against flaunting cash on social media. He was seen counting wads of cash in  a video he uploaded on social media (he pulled down the video later.

“Pia alinionya juu ya kuposti video na picha kwenye mitandao ya kijamii zikionesha nikitandaza pesa mezani. Hayo aliyasema baada ya mimi kuposti video kwenye Instagram ikimuonesha Tanasha na mimi tukiwa hotelini nikihesabu maburungutu ya pesa juu ya meza wakati Tanasha akipiga ‘selfie’ kwa kutumia simu janja.

“Rais huyo mstaafu aliniambia jambo hilo nililofanya halikuwa sahihi ukitegemea kwamba kuna watu hawana uwezo kabisa wa kimaisha ambao watajisikia vibaya kuniona mimi nikijionesha nina pesa.”

 

 

 

Raisi Mstaafu Kikwete Ampa Onyo Kali Diamond Platnumz

Raisi mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakarta Kikwete amempa wosia mzito Msanii ambaye ni staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz.

Gazeti la Ijumaa linaripoti kuwa Raisi Kikwete alimuita Diamond nyumbani kwake jijini Dar na kumpa wosia mzito ambao uligeuka gumzo huku staa huyo akikomaliwa juu ya mambo matatu ndani yake.

Diamond ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) alifunguka juu ya wosia huo kama ifuatavyo; “Nilipokuwa Mwanza (kwa ajili ya Tamasha la Wasafi), Rais mstaafu Jakaya Kikwete alinipigia simu na kunitaka niende nikamuone haraka”.

JAMBO LA KWANZA “Baadaye, nilikwenda nyumbani kwake (JK) jijini Dar. Pamoja na mambo mengine, nikiwa pale, kitu cha kwanza kabisa alinishauri nioe kwani umri unaruhusu (Diamond ana umri wa miaka 30 sasa). “Aliniambia ni muda muafaka kuoa na kutulia,” alisema Diamond na kuendelea:

JAMBO LA PILI “Pia alinionya juu ya kuposti video na picha kwenye mitandao ya kijamii zikionesha nikitandaza pesa mezani. “Hayo aliyasema baada ya mimi kuposti video kwenye Instagram ikimuonesha Tanasha (mpenzi mpya wa Diamond) na mimi tukiwa hotelini nikihesabu maburungutu ya pesa juu ya meza wakati Tanasha akipiga ‘selfie’ kwa kutumia simu janja.

“Rais huyo mstaafu aliniambia jambo hilo nililofanya halikuwa sahihi ukitegemea kwamba kuna watu hawana uwezo kabisa wa kimaisha ambao watajisikia vibaya kuniona mimi nikijionesha nina pes.

JAMBO LA TATU “Aliniambia niwe makini na mambo ninayoyafanya kwani mengine yanaweza kunijengea chuki kwa watu.

Aliniambia anaweza kuja mtu mbaya kunipongeza kwa mafanikio au jambo lolote, lakini siwezi kumjua kwani atakuwa anakuja mbele yangu akinichea usoni, lakini moyoni ana chuki.

Kwa upande mwingine aliniambia ninaweza kupata matatizo ya kipesa, nitakapomfuata mtu mwenye chuki na mimi ataishia kunipa pole tu usoni, lakini ndani ya moyo wake atakuwa na furaha, hapo nitakuwa nimepata matatizo kwenye maisha yangu”.

 

“Vijana tumeambiwa hatuna tena thamani” Diamond complains to ex President Jakaya Kikwete about how Magufuli has messed the youth

President John Pombe Magufuli is really messing up East Africa, apart from starting trade wars with Kenya he is also messing with youth in Tanzania.

Diamond Platnumz campaigned for Magufuli and his Chama Cha Mapinduzi party in 2015, he even did a remix of Number One to praise CCM and Magufuli.

Since Magufuli came to power, Diamond has seen several of his songs get banned. And early this year CCM announced that they will no longer use Bongo artiste during campaigns as was the case in the past.

CCM Secretary General Bashiru Ally said that the ruling party will not have a budget for musicians in their 2020 general elections campaigns.

Kikwete help

Diamond enjoyed good times during Jakaya Kikwete’s tenure as president, so did Kenya-Tanzania relationship. The ‘Jibebe’ hit maker complained to Kikwete about how CCM was messing youth in Tanzania on his birthday message to him.

“BONGO FLAVA GODFATHER…. WE LOVE & MISSING YOU ?????….Vijana wako leo tumeambiwa Hatuna tena umuhim, hatutakiwi tena kwenye Kampeni…Hatuna tena thamani….???? what can we say? sawa tunashkuru, ila Tumeumia?????,” wrote Diamond Platnumz on Instagram.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.