wasanii wa maigizo ya vichekesho joti na masanja wamejikuta wakiingia katiia majibizano baada ya yanga kufungwa magoli 4-o na nchini algeria katika mchezo wao wa kwanza katika michezo ya shirikisho la afrika.Masanja na joti ambao pia ni mashabiki wa timu mbili tofauti ambazo ni maadui wakubwa simba na yanga walijikita wakianza kujibizana baaada ya yanga kufungwa.
Joti aliweka picha ya kijana aliyebaba mzigo na kuandika “kitu kimengangania,3samahanilakini #samahanisana
Baada ya kuandika hivyo, Masanja nae alimjibu ‘una umama sana sometimes”
Alichojibu Masanja baada ya joti kutoa bango kuhusu kufungwa kwa Yanga.
