Diamond´s sister ex-husband now cuddling with woman too old for him

Diamond´s sister ex, Petitman Karata has come out publicly to parade his new lover with sensual videos depicting the two are one, but she is way too old for him.

Petitman and Diamond´s sister, Esma broke up just months ago and is now cuddling with aging Tanzanian artist and actress Sister Fey.

Aging Tanzanian singer and actress, Sister Fey

Endless sensual photos and videos shared [now blocked] on social media depicted the two are in love but fans think it is a waste of time and a game of cards.

The video was captioned:

OHOO!!! Mpambe wa wemasepetu, Petitman Ajiweka kwa Sister Fey… Mahaba Kama yote…. Hapa wamejirekodi wakiwa chumbani.

Fans boldly came out to lash out at the two with mean and gross comments asking the two to keep their messed up ´love life´ private.

According to the fans, the two just have confused love lives, with such a messed up past in their separate relationship lives.


Petitman

Fey is just too worn out for Petitman, fans say.

Others are just too irritated by the move the two have made, since according to the fans, these two are fooling their fans, which they will not allow.

Additionally, it seems to many, that soon after their series of failed relationships, the two rushed into a new one, abruptly.

Petitman was fasing accusations of infidelity, that led to his failed relationship with Diamond´s sister, Esma.

Diamond´s siter, Esma Khan with ex-husband, Petitman 

On the other hand, Fey was dumped by her over, hardly 2 months ago.

So question fans are asking is: Is this real or atre the two trying to fool the world?

 

 

 

 

Diamond’s brother-in-law caught in Hamisa Mobeto’s snare…Romantic photos of him and her leak online (Photos)

Photos of Diamond’s brother-in-law Petitman and Hamisa Mobeto in romantic posture have stirred up all sort of imaginations ever since they surfaced on social media.

Petitman, who has married Diamond’s sister Esma Platnumz, was seen carrying Hamisa Mobeto in one of the photos which surfaced online. The photos were taken way back when Hamisa was still team dark skin.

Petitman and Hamisa Mobeto

Diamond’s brother-in-law was quick to respond to the photos explaining that the pictures had nothing to do with his current life as he was now a married man.

Petitman blasted those circulating the photos saying that they had ulterior motive; he said people were trying to drag him into a scandal he’s not involved in any way.

Petitman and his wife Esma Platnumz

“Picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni za zamani sana. Hazina uhusiano wowote na maisha yangu ya sasa au na yale yanayoendelea kuhusu Hamisa ambaye anaonekana pia katika picha hizo kwa sasa. Yeyote ambaye ameamua kuzisambaza ana nia moja tu. Kuniunganisha katika suala ambalo sihusiki na kunichafua. Mimi kwa muda mrefu niko na mke wangu mpendwa ambaye kila mtu anamjua na tuko busy kujenga familia yetu.

Petitman and Hamisa Mobeto

“Inawezekana jambo hili haliwafurahishi baadhi ya watu hivyo kuamua kusambaza picha za zamani kwa nia zao ovu. Niseme tu kwa kifupi hizo picha sio za kutilia maanani. Ni picha za zamani sana. Kwa sasa sio muda wa kuchafuana. Huu ni muda wa kila mmoja wetu kupambana kujijenga na kulea familia yake. Mimi kama baba wa familia jukumu langu ndio hilo,” Petitman wrote on Instagram.

 

Kuhusu Picha Za Utata Na Mobeto,Petitman Afafanua

Ikiwa ni kama wiki sasa imepita tangu sakata la Hamisa mobeto  Diamond kunyamaza na kutulia , kumeibuka kwa picha zingine katika mitandao huku zikimuonyesha  tena Hamisa  na mwanaume mwingine katika hali ya mahaba. Kabla ya kuvuja kwa picha hizi mpya, mara ya kwanza  zilisambaa baadhi ya picha zikimuonyesha Hamisa akiwa na msanii Diamond katika hali ya mahaba ikiwa kama ushahidi wa kuwa wawili hao walikuwa wapenzi huku pia  ikiwa ni kama njia ya Hamisa kujitetea kwa jamii baada ya Diamond kumkata mtoto aliyejifungua hivi karibuni, picha hizo zilitoa msukumo mkubwa kwa Diamond  kukiri kuwa ni kweli alikuwa na mahusiano na mwanadada huyo na kukubali majukumu ya mtoto.

Juzi tena zimeibuka picha mpya, zikimuhusisha mwanadada yuleyule Hamisa mobeto   akiwa na mtu mwingine maarufu katika tasnia ya Bongo Fleva lakini akiwa pia mtu wa karibu na familia ya Diamond , Petitman , ambae ni  meneja wa msanii anaefanya vizuri sasa katika muziki Country boy, pia ni mtu wa karibu na msanii wa Bongo Movie Madam Wema Sepetu pia ni mume wa dada yake msanii Diamond anaejulikana kama Esma Platinumz.

Petitman alipoona kumekuwa na maneno mengi yakiongelewa kuhusu picha hiyo bila kuwana ufafanuzi kutoka kwa mtu yeyote, aliamua kufunguka na kusema yanayohusu picha hiyo,”picha zinazosambaa kwenye mitanda ya kijamii ni za zamani sana.hazina uhusiano wowote  na maisha yangu yangu ya sasa au yale yanayoendelea kuhusu Hamisa ambae pia anaonekana katika picha hizo  kwa sasa.yoyote ambae ameamua kuzisambaza  ana nia moja tu  kuniunganisha katika swala ambalo sihusiki na kunichafua.mimi kwa muda mrefu niko na mke wangu mpendwa  ambae kila mtu anamjua na tuko busy  kujenga familia yetu  inawezekana jambo haliwafurahishi baadhi ya watu  hivyo kuamua kusambaza picha za zamani kwa nia zao ovu” aliandika Petitman 

Hata hivyo Petitman aliendelea kusema kuwa huu sio muda wa watu kuchafuana bali ni muda wa kila  mmoja kukaa na kujenga familia yake .

Imekuwa ni desturi kwa baadhi ya wasanii kuvujisha picha chafu bila kujulikana kwa chanzo cha picha izo zilipotokea ambapo kwa mwanadada Hamisa si mara ya kwanza sasa picha zake akiwa katika hali kama iyo kuonekana mitandaoni.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.