Vannesa Akanusha Kuongeaza Matiti.

Mwanadada anaetamba na kufanya vizuri kwa sasa na wimbo wa thats for me  Vannesa mdee amefunguka na kukanusha taarifa kuwa amefanya surgery na kuongeza sehemu ya mwili wake hasa upande wa matiti.

Akiongea na refresh ya wasafu tv, vanesa aliulizwa swala la kizushi kuhusu miwli wake kuwa sehemu kubwa ya maziwa yake kwa sasa iameongezeka na sio kama ilivykuwa hapo awali, mwanadada huyo alisema kuwa habari hizo sio za kweli na kwamba hajafanya kitu kama icho.

Akiongea kwa kujiamini, Vanesa anasema kuwa katika maisha yake hajawahi kufanya upasuaji kwa ajili ya kuongeza kitru chochote katika mwili huo na hata swala la maziwa watu wamekuwa wakimwangalia kwa wasiwasi lakini hajafanya chochote.

I dont have any surgery in my body not any, labda nikiwa na mtoto ninaweza kufanya lakini kwa sasa i dont have any.Namshukuru Mungu mwili umekubali.

 

 

Vannesa Awapigia Magoti Mashabiki

Mwanadada vanesa mdee amefunguka na kuwaomba mashabiki zake kumpigia kura katika tuzo anazowanua mabapo yeye peeee yake amejikuta akiteuliwa katika vipengele sita tofauti  katika tuzo za hi  pipo music awards nchini uganda,

akiwa kama moja ya wasanii wa kike wakubwa na wanafanya vizuri afrika , Vanesa amekuwa mstari wa mbele kuwakilisha wanawake wengine wasanii tazania kwa kufanya vizuri na kuwa na collabo nyingi sana afrika.

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolea mwezi March 16 mwaka huu , huku msanii huyo akiwa na vipengele vingi vya kuwania na wasanii wengine kutoka nchi mbalimbali.

 

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.